Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,278
Mwenyekiti wa chama cha Umma Mhe Hashim Rungwe ,Mbunge wa Jimbo la Moshi vijijini Mhe
Anthony Calist Komu , Mbunge wa Jimbo la Bukoba Mhe Mh.Wilfred Lwakatare pamoja na viongozi mbalimbali leo
wamemtembelea Mh Lema Gerezani Kisongo Arusha. Ndugu yetu bado yuko Imara na anaendelea vizuri.
Anatoa salaam nyingi na anamtaka kila mtanzania kuondoa woga na KUIPIGANIA DEMOKRASIA inayoendelea kuharibiwa
.