Makonda: Niliwatumia watu kupata degree yangu

Freyzem

JF-Expert Member
Jun 29, 2013
10,113
24,642
Anasema hakuna kazi ya hovyo ambayo hajawahi kuifanya. Alichimba mchanga na kuchoma mkaa Mbezi Luis, na amewahi kuwa konda na kupakia magunia ya watu kwenye magari.

Mama yake ni darasa la 7, baba yake hakwenda shule kabisa.

Anaendelea kusema kuwa alikuwa anatafuta degree moja tu na hivyo alipambana muda mrefu bila kupata degree. Hatimaye aliwatumia watu kupata degree yake.!

 
Back
Top Bottom