Waziri Mkuu akerwa na Kiwanda cha mbolea cha Minjigu kutumia mifuko inayoonesha ni ya Kenya!

Sioni shida kwa wao kupack na kutumia mifuko ya Kenya kuhudumia soko la Kenya.

Kiwanda kinafanya biashara hakipo kutangaza nchi.

Kabla ya kufikia uamuzi huo kuna mambo mengi walizingatia.Issue kubwa hapo ni cross border trade.Yawezekana hiyo ni tax avoidance strategy.

PM atakuwa kalishwa maneno kama habari za Faru John.
 
Huoni shida source halisi kujulikana?

Kwahiyo kwako wewe kukwepa kodi sio shida pia?

Kwahiyo unaona inawezekana gari ya Japan ikawa labeled Kyela?

Kama huoni shida basi shida utakuwa nayo mwenyewe
 
Pamoja na Apple kutengeneza products zake China, wanasema Made in China. Unadhani wao wasingependa iandikwe Made in USA?

Sioni shida kwa wao kupack na kutumia mifuko ya Kenya kuhudumia soko la Kenya.

Kiwanda kinafanya biashara hakipo kutangaza nchi.

Kabla ya kufikia uamuzi huo kuna mambo mengi walizingatia.Issue kubwa hapo ni cross border trade.Yawezekana hiyo ni tax avoidance strategy.

PM atakuwa kalishwa maneno kama habari za Faru John.
 
Huoni shida source halisi kujulikana?

Kwahiyo kwako wewe kukwepa kodi sio shida pia?

Kwahiyo unaona inawezekana gari ya Japan ikawa labeled Kyela?

Kama huoni shida basi shida utakuwa nayo mwenyewe
Source inasaidia nini kama kiwanda hakitotengeneza faida?

Tuachane na siasa za kijamaa.Market penetration ndio issue hapa.Sera kama "buy locally" zinakwepwa kwa kuanzisha viwanda/kupack bidhaa as if zimezalishwa nchi hiyo.

Suala la msingi kwa PM lilikuwa ni kujiridhisha kama kodi stahiki zimelipwa.

Kujifurahisha kwa kupack kwenye mifuko wanayotaka wanasiasa hakutoongeza mauzo.Fanya kama soko linavyotaka na si vinginevyo.
 
Nchi ya ajabu sana wahusika wapo busy kukamata Risiti mtaani za sabuni hayo ndio mambo ya kufatilia wengi hapo wanahusika sio bure.
 
Source inasaidia nini kama kiwanda hakitotengeneza faida?

Tuachane na siasa za kijamaa.Market penetration ndio issue hapa.Sera kama "buy locally" zinakwepwa kwa kuanzisha viwanda/kupack bidhaa as if zimezalishwa nchi hiyo.

Suala la msingi kwa PM lilikuwa ni kujiridhisha kama kodi stahiki zimelipwa.

Kujifurahisha kwa kupack kwenye mifuko wanayotaka wanasiasa hakutoongeza mauzo.Fanya kama soko linavyotaka na si vinginevyo.
Acha kutetea ujinga.
Nje ya Afrika gani unayozungumzia?
 
Meneja Uendelezaji wa biashara wa Minjingu Mines and Fertilizer Ltd cha mkoani Arusha, Tanzania akiwa studio za ITV Tanzania Bw. Julius Nyabicha ktk mahojiano marefu mwaka 2013 kuhusu kiwanda hicho maarufu cha mbolea Afrika Mashariki na mlinganisho wa matumizi ya mbolea pamoja na pembejeo ktk nchi za Afrika Mashariki na masuala ya kiwanda kusapoti kauli mbiu KILIMO KWANZA, ruzuku, vocha na usambazaji kwa wakati wa mbolea kuwafikia wakulima, ubora wa mbolea, changamoto ya udongo wenye acid / tindikali ....

Source: Cathbert Kajuna
 
Hata Majaliwa ana tatizo. sijaelewa agizo la kuwataka wamwandikie barua Magufuli, sielewi. Ina maana yeye kama Waziri Mkuu hawezi kuchukua hatua? aaaaah! katibua hapo tu!

1. Katoa agizo anuani isome ya Babati
2. Kasema Mwijage atakwenda hapo na team yake ya wanasheria wajue hatua gani stahiki zichukuliwe.
3. Kawaambia wamwombe radhi Rais wa Nchi kwa kutumia ardhi ya TZ kuitangaza Kenya

Kajitahidi sana. Yule bwana huenda angelialia tu na kutoa maamuzi ya hovyo palepale.
 
Waziri Mkuu anafanya Kazi ya TBS pamoja a Waziri wa Viwanda huku wao wanakula upepo wa Viyoyozi maofisini kwao!
 
Mheshimiwa PM pia tungeomba muwapatie kakiwanda ka mppunga huko Kyela....maana ktangu zamani pale Iyunga Mbeya mjini pana k kakiwanda ka mpunga ile mifuko inayotumika imeandikwa mchele safi wa Kyela....sijui kama ni kweli wanautoaga Kyela ule Mchele......kakiwanda kanaendeshwa na wahindi......hofu ni kwamba inawezekana ule mchele unachanganywa ama sio mchele toka Kyela......
 
Mimi kama Mkenya naja kuwaeleza kuwa watu wengi nje ya Afrika hudhania Tanzania ni mkoa wa Kenya. Ndio maana utaskia watu wakisema Mlima Kilimanjaro uko Kenya n,k
Acha uongo na kujifaragua.
Tanzania imeokomboa Msumbiji, SA, Angola, Namibia, Sesheyels, Etc.
Kote huko Tanzani a isijulikane??
Shengen countries USA, England, China, Moscow Tanzania ana great history.
Wacha kudanda kwenye migongo ya watu!!
 
Kenyans there are always liers, mara Kilimanjaro mara Olduvai. Kwakweli tumechoka nao sasa
Sasa hapo kosa la wakenya ni gani ama uongo wa wakenya ni upi? Mwenye kiwanda alipeana order mifuko itengenezwe Nairobi na akawapa design na kila kitu wao wakatengeneza na kumkabidhi. Swali la kujiuliza ni gharama ya kutengeneza mifuko hiyo kule Kenya ilinganishwe na ya kutengeneza TZ. Mwenye kiwanda kafanya maamuzi ya kibiashara na sio kosa la wakenya.
 
watumbuliwe tu hakuna jinsi na sio kutumbuliwa tu wakakae keko kama miaka 5 hivi wapate akili,mtandao wa rushwa ndio unaleta yote haya
 
Hata mimi nimekereka sana na kitendo cha mhishimiwa kutokumtwanga walau ngumi jiwe kwa kuidharirisha Inji hii.
 
Back
Top Bottom