Recent content by ALAPEJE

  1. A

    JamiiForums Tanzania Dr. Ndalichako katika mahojiano na waandishi wa habari. Aonya wanasiasa wasiingilie mitihani

    Jamani mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni
  2. A

    JamiiForums Tanzania Sikiliza Radio za Tanzania

    thanks nimepata kwa kutumia desk top computer
  3. A

    JamiiForums Tanzania Wake za watu

    Mh hao wake za watu si wanatoka na waume za watu? Shida ni kwa wote watokaji nje ya ndoa usikikmbilie wanawake tu hata waume za watu nao ni hodari
  4. A

    JamiiForums Tanzania Kikwete, acha kulidhalilisha JWTZ kwa kulinda amani mtaani MASASI

    Hivi ingekuwa kwenu kunateketea na jeshi limeombwa msaada ungeona heri wasiwepo? Mi naona ni sawa tu hapa sio swala la kumlaumu mkuu kutumia jeshi amani ni muhimu
  5. A

    JamiiForums Tanzania Mtoto aliyekojolea Kurani hana kesi ya kujibu

    Mh dini nyingine zinaendekeza uadui badala ya utu wema na upole asante mungu kwa kutoniweka mahala pasipokuwa na upendo.Dumisheni upendo muache roho za kwanini,ili maisha yenu yazidi kuwa marefu katika dunia hii.
  6. A

    JamiiForums Tanzania Wake kwa waume nipeni jibu

    Oooh ni kweli kabisa mnajifanya kukataa mdomoni tu acha kabisa kitu kinaitwa hisiaa
  7. A

    JamiiForums Tanzania BREAKING NEWS:Hiace yaanguka Kolandoto-Shinyanga na kuua mtu mmoja papohapo

    Jamani poleni sana watanzania kwa janga hili ambalo lingeweza kuzuilika,jamani madereva wetu tuzidi kuwa makini. Bwana ametoa nae ametwaa jina lake lihimidiwe.
  8. A

    JamiiForums Tanzania Ufisadi tena: EWURA walipandisha bei ya mafuta kufidia chaguzi za CCM!

    Jamani mbona haya kwetu tu ukienda hapo Burundi,bei ndogo wakati bandari wanayotumia ni yetu,au wao wanasoko lingine la kimataifa la mafuta? Manake tunachoshwa na haya maisha.
  9. A

    JamiiForums Tanzania Chupi yako unaanika wapi.................?

    Ni juani ili ikauke vyema,ila wengine wanaogopa hawatakatyishi au zimetoboka wanaficha chumbani,ila si nzuri kwa afya.
  10. A

    JamiiForums Tanzania Kutembea na mke wa mtu ni mbaya ndugu zangu

    Cha muhimu ni kujiuliza kwanini utembee nje ya ndoa,inabidi wanandoa kukaa chini kusolve tatizo na si kuongeza tatizo.
  11. A

    JamiiForums Tanzania Anataka to-do, But No Love Relationship!!

    Baa kumnyima mtu kitu mandhali umepewa na mungu bure zambii, mpee baaa
  12. A

    JamiiForums Tanzania PICHA: Miili Ya Askari Wa JWTZ Waliokufa Nchini Sudani Yaagwa Leo

    Bwana alitoa bwana ametwaa jina lake lihimidiwe.
  13. A

    JamiiForums Tanzania Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

    Ipo kazi mabadiliko ya wananchi ni lazima,lazima wakubwa wafanye mabadiliko hizi sio enzi za mw....
  14. A

    JamiiForums Tanzania Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

    Jamani mbona nchimbi ana kazi ya ziada duhh
Back
Top Bottom