Lady doctor
JF-Expert Member
- Apr 13, 2013
- 8,756
- 7,005
Mke wa mtu akitembea nje anasema "she has a strong reason", mme akipuyanga anaambiwa " umalaya unamsumbua".
ndio maana yake!!!
Mke wa mtu akitembea nje anasema "she has a strong reason", mme akipuyanga anaambiwa " umalaya unamsumbua".
Ni kwanini wake za watu ni wepesi xana kushawishiwa kimapenzi? Pia hutoka xana nje ya ndoa hii inatia hasira xana je wadogo zetu kwa njia hz wataoa na kuolewa? Mh! Inatisha lakini ni lazima kuna sababu juu ya haya inaweza ikawa ni nn?
Tatizo binadamu wengi hupenda ku pretend wao ni malaika.ofkoz mke wa kweli haongei maneno ya kimalaya kama haya bali hufanya umalaya kivitendo kimyakimya kama mkeo.
kama mie niliingia kwenye ndoa kutoa nuksi, basi wake wengi wa watu pia waliingia kutoa nuksi.
nyie tukaneni hadi mchoke ukweli unabaki pale pale kwamba, siku hizi wake kwa waume wanatoka nje kwa ngoma draw.
shauri yenu.
Na mimi nawapongezaKwenye RED, ni vyema na haki ukajua umuhimu wa kuedeleza majadiliano. Hivi fikiria unafungua siku moja JF na usikute mtu hata mmoja ameandika chochote utajisikiaje? Je, utafungua pia JF? Hivyo mtu yeyote anayefungua huu mtandao jua anafurahia maoni yako, ya yule na yangu pia. Bila kuchangia hakuna mtandao. Kwa umri wangu mdogo nilio nao, nikijaribu kupembua kuna watu wa JF ambao wanatunga hadithi, wengine kuna aina fulani ya uhalisia. Niishie hapa katika majadiliano yetu kwa kuwapongeza wewe na FP kwa uhalisia.
hivi x = s?
Mim kwa upand wangu naamin mke wa mtu anayetoka nje ya ndio anasababu ten ya msing coz mwanamk akisema amependa huwa amependa kwel ina akichok na huwa anachok kweli
Ndo watoto wa Cku juzi na lugha yao mpya.. Cjui Mzee kifimbo cheza hajawaona?
unaweza ukasema hivyo....
lakini itanisaidia nini kutoka nje ninapokuwa nina migogoro? huko nje nita-enjoy?
mimi naamini kwenye kufurahia mapenzi..... yaani nikiamua kutoka ni kwamba naamini huko naenda kupata raha na siyo naenda huko kwa sababu nyumbani kuna migogoro.
kwanza hata akili haitakuwa kwenye hayo mapenzi, ni chuki tu na kukomoa, sasa ya shida gani hayo?
you can say that againsiku zote kucheat kuzuri ni kule ambako hakuna sababu inayokutuma zaid ya kutaka kupata raha tu.
unaweza ukasema hivyo....
lakini itanisaidia nini kutoka nje ninapokuwa nina migogoro? huko nje nita-enjoy?
mimi naamini kwenye kufurahia mapenzi..... yaani nikiamua kutoka ni kwamba naamini huko naenda kupata raha na siyo naenda huko kwa sababu nyumbani kuna migogoro.
kwanza hata akili haitakuwa kwenye hayo mapenzi, ni chuki tu na kukomoa, sasa ya shida gani hayo?
ha haaa, unamlipiza nani?Nina uhakika hujawahi kupatwa na matatizo ya mume wako kuwa na nyumba ndogo mahali... ikifikia hapo akili yote hupaa, na utakalowaza ni kulipiza tu, upende usipende, labda uwe na roho ya chuma...
ha haaa, unamlipiza nani?
unamkomoa nani?
wewe mwenyewe unapata raha gani?
hasira/visasi/kukomoa/chuki....... vinaleta raha kwenye mapenzi?
kwa upande wangu nafanya mapenzi ili ni-enjoy, hata nikiwa na mume wangu kama nina hasira au nina mawazo fulani (ambayo hayajasababishwa naye) siwezi kufanya mapenzi, sababu sitapata kitu kile ambacho nakitaka; sembuse kwa mtu tu huko nje? yaani niende kujiumiza sababu ya kumkomoa mtu?
nasema tena na tena na tena, siku nikiamua ku-cheat basi ujue nimevutiwa saaaaana na huyo mtu na huko najua kuwa naenda kupata raha tu na si vinginevyo
My dear, feelings zangu siyo za majaribio......Huwezi kujua kwamba utapata raha mpaka utakapoonja FP... Unalazimika u - cheat.. uonje na ndipo ulinganishe kama kuna raha au la..
My dear, feelings zangu siyo za majaribio......
sijawahi and I will never do that to myself
ha haaaa, ila hapa ndo bomba na wengine wanapata faidaYou are very peculiar FP. Let's go PM for further clarification.
ha haaa, unamlipiza nani?
unamkomoa nani?
wewe mwenyewe unapata raha gani?
hasira/visasi/kukomoa/chuki....... vinaleta raha kwenye mapenzi?
kwa upande wangu nafanya mapenzi ili ni-enjoy, hata nikiwa na mume wangu kama nina hasira au nina mawazo fulani (ambayo hayajasababishwa naye) siwezi kufanya mapenzi, sababu sitapata kitu kile ambacho nakitaka; sembuse kwa mtu tu huko nje? yaani niende kujiumiza sababu ya kumkomoa mtu?
nasema tena na tena na tena, siku nikiamua ku-cheat basi ujue nimevutiwa saaaaana na huyo mtu na huko najua kuwa naenda kupata raha tu na si vinginevyo
imemnyeaAisifiae mvua???
Sent from my EyePhone