MJIMPYA
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 506
- 272
Hivi ni kwa nini uzushi huwa unaaminiwa haraka na kirahisi hivi? inanishangaza sana. Kuna watu wamekuwa maarufu kisiasa sababu ya uzushi wa hivi.
Kanuni na vigezo inavyotumia Ewura kutoa bei ya mafuta viko wazi kabisa na kila mtu makini akitaka anapata.
Najua wengi wasioipenda serikali hizi ni habari zinazoaminika kirahisi na ndo wanapenda kuzisikia. Ni vizuri tukaacha kuishi kwa kutegemea habari nyepesi za kizushi kama hizi.
HUU NI UZUSHI WA HALI YA JUU.