Vituka
JF-Expert Member
- Nov 9, 2011
- 2,268
- 1,267
- Thread starter
- #21
Inawezekana tena sana, nawajui watu weng wamepata wapenz kwa njia ya social networks au kukosea no ya cm wakaanzsha mazoea, wakapendandana hata bila kuonana na sku ya kuonana jamaa kapewa 071... Na mbaka, leo wako pamoja mwaka wa 2
Hii kali, yani sio kuzama cumvini tena, bali 071..... mh, hao pia ni mashujaa