Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

Dar: Maandamano makubwa katikati ya Jiji

Status
Not open for further replies.



waislam sio waoga! mwislam yupo tayari hata kupoteza maisha yake kwa ajili ya ndugu zake! hii yaitwa ikhwan muslimin "muslims brotherhood" hatujali kabila, ramgi, jinsia.. as long una kalimah ya la! ilah! ila Allah! wewe ni mwenzetu
hope utavuna mnachokipanda ,mbona ile ya miaka 55 ndio mafao hamkuandamana wanafki tuu,mambo ya msingi mnanyamaza upumbavu mnaandamana .tatizo elimu ndogo.
 
Hahahahahaha SENSA Imeisha na Mmeshahesabiwa kitaeleweka nini SASA.

Wamehesabiwa wachache waislamu. Ndo maana wakawakamata wengine kutoa hasira zao na lazima waachiwe utakuja iamini kauli yangu, wakuu wako wa nchi wizaran hapo walipoona kundi lile chini wamepanic wote na sasa hivi wako kwenye kikao cha kuwasihi na muafaka. Source imetema cheche sasa hivi hapa
 
Sasa si wachukue idadi yao kwenye maandamano then wawaache waandamane, ikifika jion wataenda makwao.........simpo logic
 
Ukitaka kujua Chadema ni chama cha kina nani soma michango yao katika hii thread mpaka raha.
Mkuu, sisi sote ni ndugu tatizo ni CCMna adui wa uislam ni CCM.
 
QUOTE=KAZIMOTO;4582397]mgomo wa sensa ndio unakupa raha Rizt lakini wa shule sijawahi kuona waislamu wakiandamana kudai elimu bora. Why Ritz?

Leo upele umempata mkunaji Ritz.[/QUOTE]


Naona hutoki kwenye thread hii,kama wewe unaona afya na elimu kwako ni jambo la maana na wewe waambie wagalita wenzako muandamane,sio kuwa na wivu wa kike hapa,
 
CDM wanaomba itokee issue hapa ili wajijenge kwa waislamu.
 
haya maandamano ingekua chadema, ungesikia weshapigwa risasi kama mia hivi na kutaka kufuta chama

i hope watajaribu kusema wanafuta uislamu nchini maana some of our politicians ni viazi

Hoja dhaifu kuna wapemba zadi ya 50 walipigwa risasi kwenye maandamano na polisi, Waislam Mwembechai walishapigwa risasi kwenye maandamano.

Chadema sio wa kwanza.
 
Tuone kama hawa watapigwa mabomu na Polisi kama CHADEMA Morogoro na Mufindi

Waislamu wa sasa hivi sio wa miaka ya 80, wamuuwe mmoja kama Mwangosi utaona kama police hawajafanyiwa the same. Watu wamechoka wanataka go ahead tu from Masheikh wao w ukweli sio Bakwata
 
Give them a yard they take a mile.....

Hii yote inaletwa na serikali kuwa lege lege na siasa / dini kuingilia mambo ya msingi na sheria.., Sasa kama sheria ipo na imevunjwa kwanini mvunja sheria atake wavunja sheria waachiwe.., Do the Crime and you must Pay.., walijua fika kukataa kuhesabiwa ni kosa basi sasa either walipe hizo faini au waende jela.., after all ya Kaisari muachie Kaisari
 
There are currently 305 users browsing this thread. (112 members and 193 guests)
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom