Mtoto aliyekojolea Kurani hana kesi ya kujibu

Nimefuatilia sheria ya makosa ya jinai sijaona ni kifungu kitakacho mtia hatiani mtoto kwa kukojolea Kurani. IWAPO mimi ningekuwa hakimu aliyesimamia kesi hii ningemuachia huru bila masharti yeyote. Kwa sababu mtoto aliruhusiwa na mwenye kitabu akojolee. Sioni kosa
wendawazimu ni fununu.
 
100% naungana nawe! Nanimegundua ki2 kimoja km yule mtoto angedhulika baada ya kukojelea {kuran} nazani hawa nduguzetu wangefurahia lkn tatizo ni kwamba ajadhulika na ndomaana wanataka kufanya fujo!!
lugha yako ya taifa inakushinda.jifunze kwanza lugha halafu rudi jamvini.
 
Nimejifunza kitu kimoja katika media za Tanzania, vitu vya kigalatia vinarepotiwa vizuri lakini vinavohusu waislamu vinaripotiwa ndivo sivyo, nani alikwambia mtoto alimruhusu? umesoma kisa chote?

Yule mtoto alikuwa anatokea chuoni madrasa, akakutana na yule mtoto mwenziwe akamuuliza hiyo nini akamwambia hii juzuu ,maana yake nini, yule akamwambia naweza kukojolea yule akamwambia utageuka , mtoto akaweka juzuu yake chini kwenda kucheza mpira! UPO MPAKA HAPO???? alipoenda kucheza mtoto mweye juzuu yule mtoto wa kigalatia akanyata kwenda kuchukuwa juzuu na kukojolea, SASA NIKUULIZE SAA NGAPI ALIMRUHUSU? msikurupuke! niendeleeee?

baada ya hapo mtoto akaenda kusema kwa baba yake ! baba akaenda mpaka kwa wazazi wa yule mtoto alokojolea juzuu ili wazazi wamkanye mtoto wao, walipofika kule yule mama kuelezwa tatizo akajibu "AAAH KUMBE TATIZO DOGO TU NGOJA NIWAPE PESA MKANUNUE KITABU KINGINE" hilo umeliona jibu dogo sana kwa kitabu kinachithaminiwa na kuaminiwa na umma duniani ? halafu useme hana kesi ya kujibu ? thubutu ! muwe mnawaambia hao waandishi wenu wa habari wasiwe biased wawe wanareport kila kitu na jinsi kilivo !
Kakija tu mtaani lazima tukakate kichwa ili liwe fundisho kwa wengine wanaochezea vitabu vya mungu, the same applies kwa yule atakayekojelea bibilia
 
NA ATAACHIWA KWA VYOVYOTE MAANA HAKIMU KAFIR MLA KITIMOTO NDO KAPEWA HII KESI, ILA NAAPA AKIACHIWA NA TUKAJUA NA KUMUONA ATATAMANI NA KUMUOMBA MOLA HERI AWE TAHAHIRA AU PANYA NI SIMPLE TU ATAFANYWA KM ALVOFANYWA SADAM AU GADAF KM ULVOSEMA, YANI INSHORT ATACHINJWA HADHARANi, USICHEZEE WAISLAM CHEZEA AO AO KAFIR

STUPIDITY! Simple!
 
Kakija tu mtaani lazima tukakate kichwa ili liwe fundisho kwa wengine wanaochezea vitabu vya mungu, the same applies kwa yule atakayekojelea bibilia

Toa upuuzi wako kuwasemea wakristo. Mungu wa wakristo si dhaifu km wenu hadi ategemee mkono wa binadamu kumtetea. Magaidi nyie!
 
Nimefuatilia sheria ya makosa ya jinai sijaona ni kifungu kitakacho mtia hatiani mtoto kwa kukojolea Kurani. IWAPO mimi ningekuwa hakimu aliyesimamia kesi hii ningemuachia huru bila masharti yeyote. Kwa sababu mtoto aliruhusiwa na mwenye kitabu akojolee. Sioni kosa

Mtoto yupi.
 
Toa upuuzi wako kuwasemea wakristo. Mungu wa wakristo si dhaifu km wenu hadi ategemee mkono wa binadamu kumtetea. Magaidi nyie!
Acha kutoa mapovu, changia maada. Mwenye kukojolea vitabu vitakatifu shurti ashughulikiwe bila kujali kakojolea kitabu cha dini gani.
 
Ni kweli hana kosa hakuna aliyemuona akikojolea hakuna uthibitisho kuwa kilicholowesha ni mkojo na tena mkojo wa huyo mtoto hadi hapo hana kesi ya kujibu
 
Kwa kweli sina shaka tena uislam na waislam ni tatizo katika dunia yetu ya leo iliyostaarabika. Hawa jamaa ni janga si tu la kitaifa bali la kidunia.
 
k
Nimejifunza kitu kimoja katika media za Tanzania, vitu vya kigalatia vinarepotiwa vizuri lakini vinavohusu waislamu vinaripotiwa ndivo sivyo, nani alikwambia mtoto alimruhusu? umesoma kisa chote?

Yule mtoto alikuwa anatokea chuoni madrasa, akakutana na yule mtoto mwenziwe akamuuliza hiyo nini akamwambia hii juzuu ,maana yake nini, yule akamwambia naweza kukojolea yule akamwambia utageuka , mtoto akaweka juzuu yake chini kwenda kucheza mpira! UPO MPAKA HAPO???? alipoenda kucheza mtoto mweye juzuu yule mtoto wa kigalatia akanyata kwenda kuchukuwa juzuu na kukojolea, SASA NIKUULIZE SAA NGAPI ALIMRUHUSU? msikurupuke! niendeleeee?

baada ya hapo mtoto akaenda kusema kwa baba yake ! baba akaenda mpaka kwa wazazi wa yule mtoto alokojolea juzuu ili wazazi wamkanye mtoto wao, walipofika kule yule mama kuelezwa tatizo akajibu "AAAH KUMBE TATIZO DOGO TU NGOJA NIWAPE PESA MKANUNUE KITABU KINGINE" hilo umeliona jibu dogo sana kwa kitabu kinachithaminiwa na kuaminiwa na umma duniani ? halafu useme hana kesi ya kujibu ? thubutu ! muwe mnawaambia hao waandishi wenu wa habari wasiwe biased wawe wanareport kila kitu na jinsi kilivo !

mimi nilivyokuelewa unahitajika uende darasani ukajifunze tena
Hbari hii viongozi watatu walitoa taarifa kwa umma, hawakusema hivyo ndiyo maana nasema rudi shule tena nitakukumbusha viongozi wao walikuwa kova.sadiki sadiki na shehe wa dsm jina limenipita kando.lakini naomba nikuulize
1.kwa usemi wako huyo kijana alipokuwa anacheza mpira aligunduaje qourani imekojolewa
2.mahali alipokuwa ameiweka hiyo qurani alikuwa anauhakika gani kama hakuna mkojo au mate pale chini yaani kama watu hawajapakojolea?
 
Mh dini nyingine zinaendekeza uadui badala ya utu wema na upole asante mungu kwa kutoniweka mahala pasipokuwa na upendo.Dumisheni upendo muache roho za kwanini,ili maisha yenu yazidi kuwa marefu katika dunia hii.
 
Toa upuuzi wako kuwasemea wakristo. Mungu wa wakristo si dhaifu km wenu hadi ategemee mkono wa binadamu kumtetea. Magaidi nyie!

Alah kumbe wakiristo wanamungu wao?huyo mungu wenu anaitwaje?usijaribu kuwadanganya nakuwapoteza watu huu muda unaotumia net nibora ungeshika bblt uisome vizuri uelewe kabla yakuja kumwaga povu huku.
 
Unataka matokeo gani? matokeo hujayaona jana ? mji mzima ulizizima! na hujaona kuwa ANASOTA NDANI na wazazi na yeye mwenyewe hawana Amani ! huyo ndio ALLAH, na ile ndio QURAAN, endeleeni kucheza ! matokeo yake mtayaona ! eti hajaona matokeo! mnachekesha sana ! mfuatilieni huyo mtoto mpaka makuzi yake muone kama atakuwa sawa yeye na wazazi wake !
yeye, ponda, farid na wengine kibao wenye mtazamo hasi na wasiopenda amani, wapo ndani siku nyingiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii! huyo mtoto atatoka tu, hakuna kesi hapo, au wakimuweka ndani, ujue ni sababu ya usalama wake, na si eti ni sababu amekosea! acheni kupenda vurugu zisizokuwa na tija, huo msahafu si ungewekwa tu juu ya paa ukauke, nongwa ya nini??
 
Back
Top Bottom