Wakiwafanza watoto
Washindwalo kutambua, kwa uzoba kuwajaa,
Kila wakiwachezea, wao huwa ndio juha,
Vijembe wakivitia, wakawa wanaotaniwa,
Wakiwafanza watoto, wao huwa taahira!
Uongo waliojaa, huwa wanatambuliwa,
Kweli wakiikataa, nguo zao hujivua,
Uchi tuakjionea, hadharani walokuwa...