BAADA ya CCM kukuta mianya yote ya kuiba fedha za wanachi imezibwa sasa yaamua kuchap | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

BAADA ya CCM kukuta mianya yote ya kuiba fedha za wanachi imezibwa sasa yaamua kuchap

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by akili, Oct 19, 2009.

 1. a

  akili Member

  #1
  Oct 19, 2009
  Joined: May 5, 2008
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Baada ya serikali ya Chama cha Mafisadi (CCM) kujikuta imegonga mwamba katikakununua mitambo ya Dowans au kuchapisha vitambulisho vya taifa kwa gharama kubwa iliipate hela ya kugombea uchaguzi wa mwaka 2010 sasa imeamua kuiagiza benki kuukuchapisha noti mpya kwa kiasi kikubwa ambacho kitawezesha chama hicho kuwa namabilioni ya kumwaga katika kampeni zake ikiwa ni pamoja na kugawa kanga, vitenge,fulana na kuwapa waswahili pilao za bure ili wapate kura za wananchi kwa hila.Mabilioni haya pia yatatumika kuwanunua watu muhimu katika uchaguzi ujao na kuundavikundi vya wanawake na vijana maalum kwa ajili ya kuwazaini wananchi wasiojua hiliau lile.
   
Loading...