Vyombo vya Habari vimedanganya wagonjwa vifundishwe somo: | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Vyombo vya Habari vimedanganya wagonjwa vifundishwe somo:

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by akili, Apr 1, 2011.

 1. a

  akili Member

  #1
  Apr 1, 2011
  Joined: May 5, 2008
  Messages: 68
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  LEO ni kile kinachoitwa sikukuu ya wajinga. Sikukuu ambayo haina mashiko yoyote katika mila na utamaduni wetu.
  Baadhi ya vyombo vya habari na waandishi wa habari wamedanganywa na kisha kuudanganya umma kwamba Babu wa Loliondo kakodiwa ndege kuja Dar au Zanzibar na hivi sasa kuna mamia ya wagonjwa na ndugu zao wanaohangaika kumfikia Babu kule asipokuwepo.

  Kwa taarifa hii ninawaomba wote mziombe redio zote nchini kutangaza kuwa kilichotangazwa ni uongo ili wananchi wasiendelee kuhangaika.
  Hata kama tunaikubali desturi hii ya Siku ya Wajinga kuna mambo ambayo kwa waungwana hayastahili kufanyia mzaha. Hii ndio mila ya Kiafrika. Kwa hiyo ugonjwa na ajali hatuufanyii mzaha ingawa kwa kifo baadhi ya makabila yetu hufanyia mzaha lakini sio maradhi na ajali!
  Ninaomba serikali na wanasiasa pia walikemee hili na lisijitokeze tena. Na ikiwezekana vyombo vya habari vilivyoshiriki katika kuwadanganya wananchi vilipe fidia kwa usumbufu wananchi walioupata!
   
 2. only83

  only83 JF-Expert Member

  #2
  Apr 1, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 5,188
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 180
  Nonsense...mimi nimeshangaa even wasomi wanahipa chapuo siku hii........................
   
Loading...