Afrika Haiwezi KUendelea: Asilimia 90 ya bongo za viongozi wake wanafikiria ngono

akili

Member
May 5, 2008
68
0
JARIDA maarufu Ujerumani linahabarisha kwamba ni vigumu kwa Afrika Kuendelea kwa kuwa viongozi na watu wake wanafikiria habari za maendeleo kwa kiasi cha 10% tu tofauti na wenzetu huko Ulaya, Japani, China na Korea ambapo mawazo ya maendeleo yanachukua zaidi ya asilimia 60 za akili zao. Ngono asilimi 20 na mambo mengine asilimia 20 pia.
Je, wanasaikolojia wetu mnaweza kuwaomba jamaa kuwapeni fedha za kufanya utafiti wetu wenyewe wa bongo za kiongozi wa Kiafrika na maendeleo? Mzee Mwanakijiji karibu utoe hoja!
 
Source please?

Gazeti gani hilo? Any article discussing this "finding"?
 
Source please?

Gazeti gani hilo? Any article discussing this "finding"?

Whether he/she brings thesource, this matter is too obvious!I think for some of African leaders, 10% is too much for them, i could rank them 8%, and the rest percentage goes to their self actualization!
 
8%? This is too much for them PJ.. Wengi ni 0% mpaka 5%..
 
90% of all men are thinking about sex most of the time, the other 10% are impotent.

So what are they trying to say here?
 
40% wanafikiria starehe za pombe nk na 50% za ngono na 10% zilizobaki ni ufisadi, kwa hiyo 0% wanafikiria maendeleo ya nchi
 
...Ndo hawahawa!...You WOMANIZER!...90%!!
PJ mbona unakuwa mkali, hayo mambo ya kawaida tu watu wanafikiria ngono na wanafanya mambo makubwa tu..........hata kula mishikaki unaweka na chachandu kuongeza utamu. Haya maisha bila ngono yangekuwa yanaboa sana habari ndo hiyo.
 
inamaana they dont have enough or what exactly is their problem? hot panties ?
 
Da Womanizer u will have to sat me down and explain to me how can this be normal....normal sex does a body and mind Good but not in those leaders' case.... unless if they are engaged in other sexual behaviors(not intercourse) or are abstained or they have "sexual addiction" or an obsession with sex.....

I still dont get it....
 
Rudia kusoma mada. Inasema wanafikiria sana ngono na SIO wanafanya sana ngono upo hapo???
 
Back
Top Bottom