Recent content by AKASINOZO

  1. AKASINOZO

    JamiiForums Tanzania Nikiwasha pikipiki asubuhi inatoa Moshi mweusi.

    Inakula mafuta sana ni kabureta
  2. AKASINOZO

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    haya majamaa ukiyaona pre season unaweza kudhani yanatimu kubwa kumbe mashati tu
  3. AKASINOZO

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    heko OG
  4. AKASINOZO

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    asernal fans ni mwana uvccm mzuri amegoma kutumia Vpn ya mabeberu
  5. AKASINOZO

    JamiiForums Tanzania Kweli leo nimekoma

    Sehemu ipi hiyo chief
  6. AKASINOZO

    JamiiForums Tanzania The Manchester City (The Citizens) | Special Thread

    Mashabiki wengi wa manyuu sijui ni ccm? Naona wamegomea vpn ya mabeberu
  7. AKASINOZO

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Kwan uongo kwel una roho mbaya
  8. AKASINOZO

    JamiiForums Tanzania National Institute of Transport

    Duu kijana hata sem moja hujasoma ushataka kufahamu mishiko ? Usichanganywe na road au railway ni kama logistics nyingine tuu
  9. AKASINOZO

    JamiiForums Tanzania Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Yet another cleansheet for mendy
  10. AKASINOZO

    JamiiForums Tanzania Maeneo yanayoongoza kwa bodaboda Tanzania

    Arusha nako hawako mbali huku zinaitwa TOYO
  11. AKASINOZO

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Mmekuwa barid sana jamaa kawakomesha yale ma analysis hakuna hawana bando waka access ya net
  12. AKASINOZO

    JamiiForums Tanzania Nina 70,000 niifanyie nini

    Nilitaka kusema hivi juzi nilikuwa moshi jamaa anauza sahan ya matunda kwa buku2 ila unakula unashiiba unatoa ela yako kwa amani kabisa natamani nikirud nimwone tena
  13. AKASINOZO

    JamiiForums Tanzania Kuhusu kozi ya Bachelor of Applied Marketing and Enterpreneurship

    Imekaa kiccm ccm nadhan umenielewa
  14. AKASINOZO

    JamiiForums Tanzania GE2020 Yaliyojiri sehemu mbalimbali Tanzania katika zoezi la upigaji kura za Rais - Oktoba 28, 2020

    Mh Mgombea wa kiti cha urais alikuwa akitoa amri kuwataka wamletee mgombea flani mda mwngine kwa jazba wakati wa kampeni hapo ndo mlipopotoka. Kwa jicho la tatu zilikuwa zinaenda moja kwa moja kwa wateule wake Nec wakurugenzi ,Polis n.k Majibu mmeona
  15. AKASINOZO

    JamiiForums Tanzania Arsenal (The Gunners) | Special Thread

    Hii lig imesusiwa make gemu zake ziko gizani
Back
Top Bottom