Arsenal (The Gunners) | Special Thread

Arsenal (The Gunners) | Special Thread

[emoji23][emoji23][emoji23] Hizo ni shobo zake hakuna mtu kutoka Chelsea alijitokeza akasema tunataka kumsajili. Hata ivyo sisi tunasajili wachezaji wanaonukia UEFA yule na kuzunguka kwake club kibao hajawahi nusa klabu bingwa. Sasa anatofauti gani na nyie? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahaha yule anatafuta umaarufu kupitia club kubwa kama Chelsea [emoji3][emoji3][emoji3]

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
haya majamaa ukiyaona pre season unaweza kudhani yanatimu kubwa kumbe mashati tu
 
IMG_20201203_183103_372.JPG

THROWBACK THURSDAY jinsi Arsenyeto walivyokuwa wanajiongopea mwanzo mwanzo wa msimu tehteh
 
IMG_2479.jpg

[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Hawa jamaa walivyo potea humu ndani hadi huruma [emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom