hafidhi cimer
Member
- Oct 4, 2020
- 24
- 13
Wakuu habarii nmepata kozi ya ROAD and RAILWAY Transport and Logistic Management vipi mashiko ya hii kozi
Enzi zetu sisi tuliaoma Logistcs and transport Management
lakini sasa imevunjwa na kupatikana course mbili yaani
1: Logistics ya usafiri wa Reli na barabara
2: Logistics ya usafiri wa maji na Supply chain
Ki msingi kuna faida na hasara kwa kufanya hivyo. Faida ni kwamba wamepunguza Upana/ Wideness ya course na kufanya wanafunzi wasome vitu vichache kwenye uelekeo mmoja na hivyo kupata wataalam/ wajuzi wa uelekeo husika
Hasara ni kwamba Wamewanyima fursa wanafunzi kwani kama umesomea Road na railway basi hu ndio upande wako so uhusiki na marini, pipe na hata supply chain which sio kitu kizuri
Anyway nakushauri soma kozibhiyo sio mbaya
Sawa braza maana Ni kozi mpya hioDuu kijana hata sem moja hujasoma ushataka kufahamu mishiko ? Usichanganywe na road au railway ni kama logistics nyingine tuu
Wait wajuzi wajekusema neno maana wote wahanga tunahitaji ufafanuziNaomba kuongilia uzi kidogo, Mimi nimechaguliwa Bachelor‟s Degree in Shipping and Port Logistics Management (BSPLM) apoapo NIT na ningependa pia kujua ina husiana na nini haswa na je ina soko kubwa!?
Wait wajuzi wajekusema neno maana wote wahanga tunahitaji ufafanuzi
Hicho ndo kikubwaKikubwa ni kupata Boom.. Huku kwenye ajira tupo wengi tunaofanya kazi tofauti na tulicho somea vyuoni!
Kikubwa ni kupata Boom.. Huku kwenye ajira tupo wengi tunaofanya kazi tofauti na tulicho somea vyuoni!
Hii kozi mpya ila unafanya kosa kuja kozi usiyojua inahusu nini. Pia inafundishwa pale Kigamboni kama sikoseiNaomba kuongilia uzi kidogo, Mimi nimechaguliwa Bachelor‟s Degree in Shipping and Port Logistics Management (BSPLM) apoapo NIT na ningependa pia kujua ina husiana na nini haswa na je ina soko kubwa!?
Boom linatesa balaaa kwenye kulilipaKikubwa ni kupata Boom.. Huku kwenye ajira tupo wengi tunaofanya kazi tofauti na tulicho somea vyuoni!
Nikweliii lkn linatia wepesi katika maisha ya kusoma pindi ukiwa chuoniBoom linatesa balaaa kwenye kulilipa