Mtende
JF-Expert Member
- Sep 27, 2010
- 6,385
- 7,335
Mchague LissuHabari
Nimefanikiwa kupata kiasi cha 70,000 nahitaji hii pesa initoe kwenye dimbwi la umasikini.
Niifanyie kitu gani ambacho kitakuza mtaji haraka sana.
Nipo Dsm.
Mchague LissuHabari
Nimefanikiwa kupata kiasi cha 70,000 nahitaji hii pesa initoe kwenye dimbwi la umasikini.
Niifanyie kitu gani ambacho kitakuza mtaji haraka sana.
Nipo Dsm.
Nitatoa mwekundu (seriously)Inaonyesha ana nia ya kutoka,tumuongezee ifike hata laki moja
Akiliwa imekula kwake mazima...hili wazo halina afyaHiyo play master kacheze casino. Weka 40 unacheza Game la fruits & Seven ndani ya dk 6 kwa dau la mia 4 per spin unapata laki.
Kweli maisha ni mtihani, watu tuna akiba ndani , tuna nyumba n.k lakini kuna mtu anataka kufanya business kwa 70k.
Usife moyo
Mkuu nimekuona...💪💪💪Fanya kama huna hiyo hela,ifiche mahali usi ione kbsa kisha anza kusaka ajira kibarua yani Teseka lala njaa jitose kwenye maisha na wala usiikumbuke ile 70 kule ulipoificha,nina uhakika utapata tena hela.
ukipata tena kaifiche kule ulipoficha ile 70 ya mwanzo,ingia tena tafuta kbarua,saka pesa,saka kazi teseka hasa usichague kazi,utapata tena najua,chukua hyo amount kaongezee kule kwenye zile za mwanzo.
nenda na mwendo huo huo hadi utakapoona sasa nimechoka nahitaji kufanya biashara yangu nipumzike kidogo,katoe zile hela ulipokua unazificha angalia una kiasi gani kisha kwenye hiyo hela fungua biashara inayohtaji mtaji wa ile 70k ya mwanzo kbsa,yani fanya kama una 70k tafuta biashara ya mtaji huo fanya hela zingine ziache zikulinde na kuipa backup biashara yako itakapoyumba.
Jamaa anajua sana.
Ushauri huo Mgumu eti sio mrahisi kama unavyoonekana yahitaji ajikatae kweliMkuu nimekuona...💪💪💪
Kweli kabisa mkuu.Ushauri huo Mgumu eti sio mrahisi kama unavyoonekana yahitaji ajikatae kweli
kama haelewi nini maana ya kujikataa huo ushauri hatoweza ufanya maana ni sawa
na morani kutahiriwa bila ganzi,yani ile unasimama wima ngozi inakatwa huku ukitazama.
Sorry, hv ukimuuzia mwenye duka kea 1000 yy atauza sh ngapi?Ngoja nikusaidie ili ifike 90,000/= leo leo. Fanya hivi nenda Kurasini Mivinjeni kuna jamaa ana kontena anauza apples frm SA..box 57,000/= chukua box lenye apple 90. Tafuta sehemu kkoo, uweke box upakie baadhi kwenye mfuko. Pita madukani uza apple moja 1000. Masaa mawili mzigo umekata.
Nakupa hii sababu mimi ninaifanya kila ijumaa.
Uzuri wa box linalokaa apple 90 ni makubwa sana so yanamvutia mnunuzi. Utapata wateja parmanent ambao watakua wanachukua lets kila wiki.
Ni Kama masihara hivi ila huu ushauri Ni mzuri Sana.Fanya kama huna hiyo hela,ifiche mahali usi ione kbsa kisha anza kusaka ajira kibarua yani Teseka lala njaa jitose kwenye maisha na wala usiikumbuke ile 70 kule ulipoificha,nina uhakika utapata tena hela.
ukipata tena kaifiche kule ulipoficha ile 70 ya mwanzo,ingia tena tafuta kbarua,saka pesa,saka kazi teseka hasa usichague kazi,utapata tena najua,chukua hyo amount kaongezee kule kwenye zile za mwanzo.
nenda na mwendo huo huo hadi utakapoona sasa nimechoka nahitaji kufanya biashara yangu nipumzike kidogo,katoe zile hela ulipokua unazificha angalia una kiasi gani kisha kwenye hiyo hela fungua biashara inayohtaji mtaji wa ile 70k ya mwanzo kbsa,yani fanya kama una 70k tafuta biashara ya mtaji huo fanya hela zingine ziache zikulinde na kuipa backup biashara yako itakapoyumba.
Nilitaka kusema hivi juzi nilikuwa moshi jamaa anauza sahan ya matunda kwa buku2 ila unakula unashiiba unatoa ela yako kwa amani kabisa natamani nikirud nimwone tenaNenda kwenye duka la vyombo nunua zile bakuri za mifuniko zlizo transparent (maalufu kwa kotena) Kama kontena10 nadhani haizidi buku jelo kwakila1,kisu,kopo2 za tooth pick.kisha ingia Sokoni chukua,nanasi,papai,chungwa,tango,Ndizi,parachichi,Tikiti maji namatunda mengneyo.Menya matunda yako katakata Kisha weka kwakuchanganya kwenye izo kontena zako...ukimaliza nunua mfuko au kikapu,ingia town,maeneo yastend, garage,vijiweni,masaloon nasehemu zote zenye mikusanyiko yawatu ilio changamka.piga kila kontena bukubuku,au pia kata nakiwango chajerojero.nahakika Apo haiwez maliza iyo70 yako ila baada yawiki kadha utakuwa napesa yakutazama kikubwa zaidi
Jifunze kubetiHabari
Nimefanikiwa kupata kiasi cha 70,000 nahitaji hii pesa initoe kwenye dimbwi la umasikini.
Niifanyie kitu gani ambacho kitakuza mtaji haraka sana.
Nipo Dsm.
ndioBado umeitunza?
Big upNenda duka la vyombo nunua birika2,vikombe vya kahawa,njiko la mkaa,chupa mbili za chai ingia Sokoni,chukua tangawizi,kahawa,Anza kupika kahawa na tangawizi,Asubuh wahi stend navituo vyadaladala watembezee watu,ukiweza pika nakashata Tembea nazo.....baada yawiki kadhaa utakuja kuleta mrejesho