Beeb
JF-Expert Member
- Aug 18, 2018
- 29,393
- 59,137
Aaweee..kumiss-iwa mchana kweupe hivi nini naenda kukipata leo kabla siku haijaisha🤔..!!!I miss you my better half...😘😘
Ahsante Sana kukumiss zaidi tu Mimi😍
Aaweee..kumiss-iwa mchana kweupe hivi nini naenda kukipata leo kabla siku haijaisha🤔..!!!I miss you my better half...😘😘
Lazima nijivunie wewe babe, maana huu ulemavu wangu wewe ndio unaumudu...😋😋Aaweee..kumiss-iwa mchana kweupe hivi nini naenda kukipata leo kabla siku haijaisha🤔..!!!
Ahsante Sana kukumiss zaidi tu Mimi😍
😂😂😍Lazima nijivunie wewe babe, maana huu ulemavu wangu wewe ndio unaumudu...😋😋
Umtafute Rais kwani kapotea, Nememuona Chamwino leo.Amakweli hii nchi ya ajabu sana....
Yaani watu tunatafuta Rais wewe unatafuta Mlima...![]()
Hayo sasa ndo mambo ya kuongea mkuu sema sasa hiv tupo likizo nikirud ntakuchek tukapate moja moto moja barid au kule chini manyele

We upo klm au arushaKwa hali ya hewa leo ni sio rahisi kuona kilele cha mlima sababu ya mawingu siku nyingine ulizia kwanza kabla ya kuanza safari.
Moshi,KilimanjaroWe upo klm au arusha
Ukiwa Tarakea mlima unakuwa karibu kinyama..yaani unahisi unaweza kutembea dakika moja tu kuufikiaHata ukiwa kabla ya makuyuni Kama unatokea Minjingu Mt.kili unaonekana vizuri tuu ukiwa Arusha mjini panda juu ghorofani utauona au bends tengeru (sadek) utauona vizuri Ila ukitaka kuona maajabu ya huo mlima kimuonekano nenda tarakea utaona picha tofauti na utahisi Kama unaeza kuugusa Mana unakuwa karibu mno
Tulikaa Moshi siku Saba hatuuona siku Ile tumeondoka wakasema yaani ulionekana vizuri sanaNimekaa Moshi siku tatu lakini sikufanikiwa kuuona mlima, siku ya mwisho nikaambiwa natakiwa kuwahi kuamka saa 12 asubuh ndio naweza kuuona
Panda kibosho au machame mbona unaonekana vizuri ila ukitaka ufurahie zaidi panda rombo tarakea shuka pale tarakea day mbona unauwona vizuri.Wakuu salamu,
Ni hivi leo asubuhi baada kuwa off na kikazi ninachofanya hapa Arusha nikajisemea moyoni sasa ngoja niende Moshi nasikia ni fasta kutoka A Town ili nijionee Mlima Kilimanjaro kwa macho yangu.
Mzee mzima nikajikoki na ten yangu huyo kwenye coaster ili njia nzima mimi macho yangu yapo kodo kwenye madirisha nikijua tu nitaona mlima hola, mara KIA hapa nikasema sasa lazma itakuwa nakaribia kuuona mlima hadi moshi mjini Hola, nikazunguka zunguka bado sikubahatika mpka jioni.
Badala ya kuona mlima Kilimanjaro nimeambulia kula matunda tu na kurudi zangu Arusha.
Mpaka sasa sielewi kabisa mlima haonekani ukiwa Moshi Mjini sasa nitauonea wapi mie au mpka nirud kwenye atlas kweli.
Nipeni uzoefu niende maeneo gani tena niweze kuuona Mlima Kilimanjaro.
Sehemu ipi hiyo chiefHata arusha kuna mahali ukikaa unaona tena vizuri kuliko mtu alieko moshi
Mlima kijinge au kimandulu.Sehemu ipi hiyo chief
Wakuu salamu,
Ni hivi leo asubuhi baada kuwa off na kikazi ninachofanya hapa Arusha nikajisemea moyoni sasa ngoja niende Moshi nasikia ni fasta kutoka A Town ili nijionee Mlima Kilimanjaro kwa macho yangu.
Mzee mzima nikajikoki na ten yangu huyo kwenye coaster ili njia nzima mimi macho yangu yapo kodo kwenye madirisha nikijua tu nitaona mlima hola, mara KIA hapa nikasema sasa lazma itakuwa nakaribia kuuona mlima hadi moshi mjini Hola, nikazunguka zunguka bado sikubahatika mpka jioni.
Badala ya kuona mlima Kilimanjaro nimeambulia kula matunda tu na kurudi zangu Arusha.
Mpaka sasa sielewi kabisa mlima haonekani ukiwa Moshi Mjini sasa nitauonea wapi mie au mpka nirud kwenye atlas kweli.
Nipeni uzoefu niende maeneo gani tena niweze kuuona Mlima Kilimanjaro.
Amakweli hii nchi ya ajabu sana....
Yaani watu tunatafuta Rais wewe unatafuta Mlima...![]()