computerarsenal
JF-Expert Member
- Jan 27, 2020
- 3,479
- 6,033
Leo Arteta kama anataka heshima iendelee kubaki kwake hii mechi asipoteze la sivyo ajiandae kuandikwa vibaya na watu kumsema vibayaGame ngumu sana hii guys, hasa ukichukulia tupo ugenini na record yetu away games ni ovyo kabisa tena vs big six ndio kabisa.
Kupoteza games tatu consecutively itakuwa record mbaya sana kwetu, babu Wenger pamoja na mapungufu yake ilikuwa ngumu sana kupigwa three games on trot.

