Recent content by Aikasa

  1. Aikasa

    Ileje tumedhurumiwa pesa za likizo

    yeah, mkuranga cc wengine tangu dec 2015 hatujalipwa sembuse nyinyi july 2016
  2. Aikasa

    Nimsaidie Rais hili jipu kwenye Ajira za Walimu

    hilo, unalosema kweli lipo kweli hata kwenye halmashauri zetu.... walimu, wengi wanaokuja kuripoti wanakuja na vimemo na wengi tunaoshia porini
  3. Aikasa

    Msaada wa kujifunza Lugha ya Alama_LAT

    habari za hapa, wakuu? Naomba msaada wa wapi naweza kujifunza LUGHA YA ALAMA.kwa upande mwingine nipo kazini naweza kusema mwajiriwa wa serikalini. Hvy muda kama unanibana na eneo nilipo! Ahsanteni
  4. Aikasa

    Printer za CD/DVD zimewasili,, tuwasiliane....

    kwa hy mkubwa hz zinatumia wino wa mfumo gani?
  5. Aikasa

    Picha - Speaker Makinda na hijabu

    mbichi wapi? Bi kizee
  6. Aikasa

    Baada ya CWT kushidwa kutatua matatizo ya walimu, walimu wa sayansi kuunda chama chao

    jamani, mnajua kwa nn hatufanikiwi kwa hv vyama vyetu! Leo walimu wa sayansi wanaunda chama chao, kesho walimu wa sanaa nao wataunda chama chao! Cha muhimu walimu kuungana bila kuwepo makundi then kudai haki zetu! Pamoja tutashinda
  7. Aikasa

    Taifa stars vs Mozambique.

    mmmmh!
  8. Aikasa

    Malipo ya walimu yaota mbawa mkuranga!

    Hii wilaya,, inahitaji maombezi!!
  9. Aikasa

    Malipo ya walimu yaota mbawa mkuranga!

    Jamani, tangu mwezi wa 9/2012 mpaka leo walimu walipopandishwa madaraja mpaka leo hawajalipwa mshahara mpya? Katibu wa CWT ameingilia kati mpaka HAZINA majibu aliyopewa kwmb hakuna madai yeyote kutoka mkuranga! Ndio inakaaje? Hebu funguka kama ni muhusika!
  10. Aikasa

    Wazanzibar wawasili Bara kwa wingi

    Mjomba, kama kuna siku muungano utavunjika hayo maduka yatakuwepo na wala hakutakuwa na kitu mtakachoweza kukiongoza! Umasikini pale pale hata muachiwe vyote! Nyambafu!
  11. Aikasa

    Watanganyika watakiwa kuondoka Zanzibar!

    Mjomba, hata wapemba wakaondoka wote dar na wakaachi hayo maduka na nyumba bado tu kama hatupendani na ukabila wetu tutabaki maskini tu
  12. Aikasa

    hebu tutafakari haya..... katika elimu yetu

    serikali, kama haitawathamini walimu kila siku matokeo kwa xcul za goverment yatakuwa mabaya hadi mwisho wa dunia....Hebu, linganisha malipo ya mbunge na mwalimu, kuna uwiano?
  13. Aikasa

    hebu tutafakari haya..... katika elimu yetu

    Jamani, naomba nami niongee haya machache! Shule nyingi zinazofanya vizuri ni zile za st., ambazo walimu malipo yao mazuri na zile zinazozalisha 3 & 4 na 0 ni zile za serikali na nyingi za KATA ambazo walimu malipo yao hayaendani na hali ya maisha!
  14. Aikasa

    Ayaaah! Keshapakuliwa huyu.

    Daah, mwisho wake tu mi mbavu sina!
  15. Aikasa

    Nawezaje kumpa mtu link

    Mmmh, mi hata sijui nianze wapi?
Back
Top Bottom