Mkuu majid. unaweza kua sawa upande fulani na kukosea upandemwengine, mimi nawafaham sana wazenji, machafuko ya kisiasa yaliodumu kwa miaka pamoja na mihadhara na yanayotokea sasa chanzo kikuu ni muungano, mkuu tusijaribu kuuficha ukweli tukatafuta sababu zisizo za ukweli zanzibar hawakuridhika na hawaridhiki na aina ya muungano uliopo ila wanaenda kwa sababu ya nguvu ya viongozi wenye madaraka tu, na nadhani kama katiba yao inavosema juu ya madaraka ya wananchi hawa wana haki tena ya msingi kabisa katika kuujadili muungano,