Malipo ya walimu yaota mbawa mkuranga! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Malipo ya walimu yaota mbawa mkuranga!

Discussion in 'Jukwaa la Elimu (Education Forum)' started by Aikasa, Jun 1, 2012.

 1. Aikasa

  Aikasa Member

  #1
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Jamani, tangu mwezi wa 9/2012 mpaka leo walimu walipopandishwa madaraja mpaka leo hawajalipwa mshahara mpya? Katibu wa CWT ameingilia kati mpaka HAZINA majibu aliyopewa kwmb hakuna madai yeyote kutoka mkuranga! Ndio inakaaje? Hebu funguka kama ni muhusika!
   
 2. Aikasa

  Aikasa Member

  #2
  Jun 1, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Hii wilaya,, inahitaji maombezi!!
   
Loading...