Ayaaah! Keshapakuliwa huyu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ayaaah! Keshapakuliwa huyu.

Discussion in 'Jokes/Utani + Udaku/Gossips' started by Escobar, May 19, 2012.

 1. Escobar

  Escobar JF-Expert Member

  #1
  May 19, 2012
  Joined: Sep 16, 2011
  Messages: 576
  Likes Received: 217
  Trophy Points: 60
  Kijana wa kiume miaka kama 19 hivi karudi nyumbani akiwa kachoka na macho ni mekundu. Ile anaingia tu sebuleni kamkuta baba yake anawatch TV na baba yake akamuuliza na mazungumzo yakawa hivi;

  BABA: Mbona unaonekena umechoka sana mwanangu?

  KIJANA: Wala hakuna tatizo niko kawaida tu baba.

  BABA: Na hayo macho mbona kama ulikuwa unalia?

  KIJANA: Ni vumbi tu wala hayana tatizo.

  Dakika chache baadae kijana akarudi kwa baba yake huku akitabasamu kwa mbali kisha akasema

  KIJANA: Baba leo ndio nimefanya mapenzi kwa mara ya kwanza.

  BABA: Safi sana mwanangu, wewe ndio kidume changu. Vipi umejisikiaje?

  KIJANA: Vizuri tu ila inaumiza kiasi flani

  BABA: Aah wala isikupe shida ni kawaida ukiwa unaanza hadi mpini uote sugu

  KIJANA: Aah sawa

  KIJANA: Baba nina swali nataka kukuuliza

  BABA Uliza tu kidume changu

  KIJANA: Eti unapofanya mapenzi kwamara ya kwanza huwa inachukua muda gani m.k.u.n..d.. kupona?

  BABA puh! AKAZIMIA!
   
 2. u

  ulanzi mtamu Senior Member

  #2
  May 19, 2012
  Joined: May 19, 2012
  Messages: 102
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  jamani toto sĀ¤nge hlo..
   
 3. tindikalikali

  tindikalikali JF-Expert Member

  #3
  May 19, 2012
  Joined: Jan 14, 2011
  Messages: 4,883
  Likes Received: 96
  Trophy Points: 135
  nimecheka sana khaaaaaaaaa
   
 4. Tz-guy

  Tz-guy JF-Expert Member

  #4
  May 19, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 439
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Kha..! Watu washaharibu!
   
 5. Aikasa

  Aikasa Member

  #5
  May 19, 2012
  Joined: Apr 11, 2012
  Messages: 37
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Daah, mwisho wake tu mi mbavu sina!
   
Loading...