Ileje tumedhurumiwa pesa za likizo

Ileje tumedhurumiwa pesa za likizo

mitikasi

Member
Joined
Aug 7, 2016
Posts
40
Reaction score
28
Ndugu zangu naamini kunawatu bado hawamwogopi kabisaa Magufuri. Wakati nchi nzima wakilipwa hela ya likizo kwa walimu walioenda likizo mwezi Juni. Lkn mambo ni tofauti kwa walimu wa Ileje. Wamelipwa shule ya msingi tu. Sekondari wanasema eti hela hazijatumwa. Sasa inawezekanaje serikari itume hela msingi tu na sio sekondari? HAWA WATU BADO HAWAJAMWELEWA MAGUFURI
 
kwanini ulichagua ccm *****
 
Hata Songea manispaa hawajalipa hata senti aisee, wanasema pesa zipo lakini hawataki kulipa mpaka leo
 
Sio pekeenu uku Mkuranga ndo kabisa hatujui tutalipwa lini izo ela
 
Afadhali ya nyie.mie nimeanza kaz 2012 cjawah ona hela ya likizo .Hii ni changamoto kwa kweli
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom