Recent content by Adidas

  1. A

    JamiiForums Tanzania Vijana wadogo na mijimama

    Gari bovu huvutwa na gari zima
  2. A

    JamiiForums Tanzania Mzimu wa kutendwa unaniandama

    Aliyekudanganya kuwa ukiwa unajua kuhonga ndo utakaa na mpenzi ni nani? Pole na jipe moyo utampata size yako atakayekupenda
  3. A

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Mawasiliano ya mke wangu na ndugu yake wa kiume

    Usikubali kudanganywa kwa maelezo ya mwanamke piga marufuku huo ukaribu usio na afya dhidi ya ndoa yako
  4. A

    JamiiForums Tanzania Nini zaidi, urembo/uzuri wa sura au tabia?

    tabia ni my first priority kwangu halafu sura na muonekano unafuata
  5. A

    JamiiForums Tanzania Katika mahusiano,yupi humkinai haraka mwenza wake?

    yeyote kati ya hao wawili kwa kutopata kile kinachostahili kupatikana katika mahusiano yao,pia inategemeana na malengo ya kila mmoja katika mahusiano yao mfano mmoja kuwa na lengo la hit and run
  6. A

    JamiiForums Tanzania Bei ya Sukari mfupa ulioishinda serikali!

    waliopandisha wameeamua wenyewe kwa kutaka kupata faida kubwa lakini hadi vijijini wanauza 2000
  7. A

    JamiiForums Tanzania Sex toys, biashara inayoshamiri kwa kasi

    mshana nahisi unafanya biashara ya sex toy
  8. A

    JamiiForums Tanzania Alisema ana mpenzi wake nje ya nchi,sasa anataka nimuoe

    unastahili kuumizwa kwenye mapenzi ndo ujue umuhimu wa ndoa
  9. A

    JamiiForums Tanzania Nimnunulie zawadi gani hii siku ya valentines?

    usisubiri Valentine day ndo utoe zawadi bali jijengee desturi ya kumpa zawadi unapokuwa na fursa ya kufanya hivyo,leo usingewaza kufanya unalolitaka kulifanya kedho
  10. A

    JamiiForums Tanzania Hivi Hizi ni Kauli za Kiongozi wa Nchi?

    Angalia mazingira aliyotoa kauli hizo, pia tutambue kuwa alikuwa kwenye sherehe za chama pasingekuwa rahisi kusema maneno yasiyoendana na siku yenyewe kwa mtazamo wangu hayo ndo nimeelewa hivyo
  11. A

    JamiiForums Tanzania Mtu na kaka yake, kosa langu ni lipi hapa?

    Kuna sababu gani kuja kunianika huku hadharani? Na usipojiangalia ntakuharibia kwa dogo
  12. A

    JamiiForums Tanzania Ukiona dalili hizi jua kuwa kwa 100% Mpenzi wako/ mke wako anakusaliti

    Hongera kuandika uzi lakini hakuna ukweli wowote
  13. A

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaume tu: Kukumbushana

    tambua na magonjwa yapo,suluhisho siyo kuwa nao wengi ila ni kuchagua chaguo sahihi bila kufuata hisia zinataka nini kwa wakati huo unapojisikia kuwa na mahusiano na mwanamke
  14. A

    JamiiForums Tanzania Simba Yamtimua kocha mkuu, Dylan Kerr na kocha wake wa makipa Iddi Salim

    adui mwombee njaa
  15. A

    JamiiForums Tanzania Makosa makubwa matatu yanayofanywa na serikali ya Dr. Joseph Pombe Magufuli

    umechambua vzr lkn ungeweka na mazuri yanayofanywa na serikali ili tuweze kujua mzani unaelemea upande upi kati ya mazuri na mabaya
Back
Top Bottom