Mwana Mnyonge
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 518
- 451
Habari ndugu zangu,
Mimi ni mwanaume nipo kwenye ndoa kwa mwaka wa pili now but mke wangu tumekuwa kwenye uchumba sugu kwa miaka kama minne. Tatizo mke wangu ana ndugu yake wa kiume undugu wa mbali wana mawasiliano ambayo yananipa wasi wasi sana.
1.Almost kila siku lazima wapigiane simu usiku na jioni.
2.Kama miaka mitatu nyuma nilikuta sms inayoashiria mahusiano ya kimapenzi kutoka kwa wife kwenda kwa kwa huyo ndugu yake.
3.Mimi nilikuwa nafanya kazi mkoani nilipanga apartment mchumba wangu akawa anaishi na mimi kila wiki nilikuwa nakuja mjini, huyo ndugu yake nae alikuwa anakuja na kuna kipindi alikuwa anaingia hadi chumbani sijawahi muona ila kuna kitu kilitokea nikajua hiyo kitu.
Je nii vizur mke wa mtu kuwa na ukaribu wa hivyo wakati hakuna business yeyote wanayofanya?
Naombeni ushauri wa kufata kuhusiana na hii hali.