Sex toys, biashara inayoshamiri kwa kasi

Mshana Jr

Platinum Member
Aug 19, 2012
280,865
730,425
Ni jambo la kusikitisha na kuhuzunisha mno lakini ukweli mchungu ni kwamba wanawake siku hizi asilimia zaidi ya 70 hawafikishwi kileleni ama la hawapati kabisa haki yao na wengine wanapata tena kiduchu maramoja kwa mwezi
Sababu zipo nyingi lakini kubwa Zikiwa ni msongo wa mawazo utokanao na changamoto za maisha, vyakula uchovu na kwa sehemu wanaume wengi kujihusisha na vitendo vya ushoga

ac4c00bd86a6473c0e7955b8525fac26.jpg


Wanawake walijaribu kutoka nje ya ndoa lakini ama wakaishia kwenye aibu ya kufumaniwa au kukuta huyo wa nje naye hata tofauti na mumewe au kukuta huyo wa nje ni pasua kuliko maelezo asiye na tofauti na Omba Omba. ..akitaka kuhudumiwa kila kitu
Bahati mbaya sana hakuna dawa za kupunguza ashiki! Hivyo akina mama wengi wakibaki na usongo wa kuhitaji kutoa ashiki, wachache wasio na hofu waliamua kujilipua na kujiingiza kwenye vitendo vya kusagana lakini wakibaki kuhukumiwa na roho zao
Hawa wenye kujiheshimu sana na wanaoepuka aibu za kufumaniwa au kusaliti ndoa zao kwa uchungu mno wameamua kuingia kwenye kujichua wenyewe na midoli kama uume
Hii midoli ni biashara ya siri sana na ipo ya saisi tofauti na ukubwa tofauti pia huku yakiwemo ya manual na automatic. .kwahiyo ndugu yangu ukiona siku hizi mkeo wala hakusumbui ujue umepata msaidizi asiye mbali nawe
32de6811b0c7695192b07ed0b1ac3aa4.jpg
 
Back
Top Bottom