Vijana wadogo na mijimama

Vijana wadogo na mijimama

kwa nini vijana wadogo kuanzia miaka 17 hadi 25 wanadata sana na majimama kuanzia miaka 30 hadi hamsini?
kulikoni jaman hii hali imeniacha katika sintofahamu?
Ni rika tu mkuu.

Rika hilo wengi ni malimbukeni na wanapenda vya dezo, hapo ndipo majimama hutega mitego yao na kuwanasa
 
Nasikiaga tu hizi story.. lakini sijawahi kushuhudia hao majimama wakitoka na nao wanaitwa vijana wadogo...
 
Ni tatizo la kisaikolojia kijana kuwa na jizee akampenda
 
Kwa waliopata kuishi maeneo ambako uchimbaji dhahabu hufanyika, kuna kitu kinaitwa MARUDIO.
Yale ni mabaki ya dhahabu au niseme mabaki ya mchanga wa dhahabu. Kwa kiasi kikubwa wafanyabiashara wadogo hususani vijana huwekeza fedha zao katika marudio ili wafanye upya uchenjuaji wakibahatika wanapata dhahabu kidogo na mara nyingine hukosa kabisa na kukatika mitaji yao.
Wafanyabiashara wakongwe wa dhahabu hawathubutu kuwekeza fedha zao katika marudio maana wanajua risk ni kubwa zaidi kuliko opportunity ya kupata dhahabu. Bahati mbaya katika hili ni kwamba, hayo marudio yanapatikana kwa urahisi ukilinganisha na mwamba genuine wenye dhahabu hivyo gharama za kuwekeza ndogo sana katika marudio kuliko katika mwamba genuine.
Hiyo ndiyo tafsiri na maana halisi hata katika maisha ya kimapenzi, wazee wanajua thamani ya dogo dogo na gharama ya uwekezaji lakini kina Harmonists wanajua ni rahisi kuwekeza kwa kina Wolperists
Futa zingine zilizo jirudia.
 
Kwani wewe ni mmoja wao mkuu? Ulipo wauliza walengwa walisema motivation ni nini? Tupe mrejesho mkuu ili tusikie from the horse's mouth...
 
Kwanini vijana wadogo kuanzia miaka 17 hadi 25 wanadata sana na majimama kuanzia miaka 30 hadi hamsini?

Hii hali imeniacha katika sintofahamu, kulikoni jamani?
Sababu mojawapo ni kimaumbile. Vijana wengi hawana vitambi na sio wakubwa sana kimaumbile. Wamama wengi wanakuwa wanene na maumbile makubwa sana. Kwahiyo ni rahisi kwa kijana huyu mwenye umbile dogo ku tosha kwa huyu mama mkubwa au mnene. Sasa wababa wengi wenye umri mkubwa wana maumbile makubwa kama wamama wenye umri wao. Jambo hili linaleta shida wakati wa tendo la ndoa. Tatizo hili linawakumba hata wana ndoa. wanapooana wanakuwa na maumbile yanayo shabiiana. Baada ya umri kwenda wanakuwa hawatoshelezani kwasababu ya kimaumbile. Linalofuata ni kila mmoja kutoka nje kutafuta mwenza atakae tosheleza umbo lake. Ndio maana zamani wanaume wazee waliruhusiwa kuoa mabinti wadogo ingawaje hii mila inapigwa vita siku hizi.
 
Hii inaitwa Style ya MJUSI KWENYE GOGO.
 
Wasichana wa umri wetu huwa wanazingua sana mizinga mingi mkuu, ila sugar mummy hawana mishe kama hizo mbali na kukupa kila unachotaka ilmradi tu unamfikisha mlima Kilimanjaro kwenye kilele cha kibo!!
 
d3d3f0748acd96ca2c5e8fb726585800.jpg
 
Back
Top Bottom