MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,970
Kama ni mambo yanayoipa mtihani mgumu serikali ni pamoja na kushindwa kusimamia bei ya Sukari kuendana na bei elekezi zilizopangwa!
Haihitaji kutumia muda mrefu kutafuta kujua bei ya sasa ya Sukari kwa kilo katika mtaa wako ulipo hata kama ni karibu na kiwanda chl
Ra kuzalisha Sukari.
Tunapiga marufuku Sukari ya kutoka nje, kusimamia uzalishaji wa ndani hatuwezi sasa huku si kushindwa ni nini? Kama pamoja na kelele zote za serikali kilo moja ya Sukari bado ni zaidi ya Tshs 2000 inamaana kiwango cha Sukari kilichopo ni kidogo!
Hapa bila shaka kuna maslahi binafsi kati ya watumishi wa serikali na wafanyabuashara ya Sukari nchini sio bure! Serikali ikipandisha Bei ya nauli kwenye vyombo mbali mbali vya usafiri nchini siku hiyo hiyo madiliko hufanyika lakini kwa hili la Sukari kwakua mnyonge ndie anaeumia basi kimya!
Bodi ya Sukari nchi ilikemea vikali suala la kapandishwa Bei ya Sukari kiholela lakini mpaka sasa hilo agizo halikua na maana yeyote, mbona hakuna sehemu Sukari inauzwa 1800 kwa kilo? Nimefanya research maeneo mengi nchini ikiwa ni pamoja na mkoa wangu wa Arusha hapa hapa hakuna duka Sukari inauzwa chini ya 2000!
Hivi kuna uhakika gani kama bado Sukari kutoka njee haiingizwi kinyemela? Wanaosimamia sua la kuzuia kuingiza Sukari kutoka nje mbona hawazuii kapandishwa kwa bei yake?
Binafsi naiomba serikali iache Sukari kutoka nje iingizwe ila iwe ni kwa njia za kilali ilipiwe kodi kama ilivyo kwa bidhaa zingine, kama wakulima wetu na wafanyabiashara wamekua wabinafsi wanafungia Sukari kwenye maghala huku wakipandisha bei kiholela basi Sukari kutoka nje iingizwe tu ili ushindani wa kibiashara uwepo kama zamani bei ishuke wanyonge wanywe chai na uji wenye Sukari na sio chumvi.Kikubwa serikali izibe mianya yote ya njia za pyanya Sukari kutoka nje ipite kihalali na ilipiwe kodi.