Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,296
Hata baba pia kuna baba mkubwa na mdogo.Hata mume sio Baba pia
Hata baba pia kuna baba mkubwa na mdogo.Hata mume sio Baba pia
More time and more money just for women?Si ndio utafute more money and more time?
Hehehe uhitaji ni chachu ya ufumbuzi boss man
This is just a reminder.
Kumekua na malalamiko ya kila siku ya wanaume wenzangu kuhusu kuumizwa na mapenzi na kuachwa licha ya wanawake kua wengi kuliko wanaume.
Nawakumbusha tu maana nilishawaambia humu mara kibao tu, kosa kubwa mnalofanya wanaume wenzangumnaoumizwa kila siku na wanawake ni kua na mpenzi mmoja.
Kuepuka maumuvu usiwe na mwanamke mmoja, mke sio mama yako, kua na wanawake wengi kadri uwezavyo, kung'ang'ania mke mmoja siku ukiachwa lazima ulie kama punda.
Mbinu pekee ya kuepuka kuumizwa ni kutokupenda mwanamke na kua nao wengi kadri uwezavyo.
Mimi nawakumbusha tu, mjumbe hauwawi, injili inasema peleka neno kwenye misuko suko, wakikataa nawa mikono uondoke, ukikataa huu ujumbe jiandae kulia.
Sharing is caring. Ni aibu mwanaume kulia umeumizwa.
napendaga sana maneno yakoKwenye threads kama hizi unapata kuona jinsi wanaume fulani hawajiamini. Wamejaa woga. Wanatafuta njia za ajabu ajabu kupata confidence. Wa kudhraulika.
Mkuu wewe unao wangapi? Wanafika kumi?This is just a reminder.
Kumekua na malalamiko ya kila siku ya wanaume wenzangu kuhusu kuumizwa na mapenzi na kuachwa licha ya wanawake kua wengi kuliko wanaume.
Nawakumbusha tu maana nilishawaambia humu mara kibao tu, kosa kubwa mnalofanya wanaume wenzangumnaoumizwa kila siku na wanawake ni kua na mpenzi mmoja.
Kuepuka maumuvu usiwe na mwanamke mmoja, mke sio mama yako, kua na wanawake wengi kadri uwezavyo, kung'ang'ania mke mmoja siku ukiachwa lazima ulie kama punda.
Mbinu pekee ya kuepuka kuumizwa ni kutokupenda mwanamke na kua nao wengi kadri uwezavyo.
Mimi nawakumbusha tu, mjumbe hauwawi, injili inasema peleka neno kwenye misuko suko, wakikataa nawa mikono uondoke, ukikataa huu ujumbe jiandae kulia.
Sharing is caring. Ni aibu mwanaume kulia umeumizwa.
Niulize mimi gharama ya kumiliki wanawake wengi, i am not recommending this to any one, nakumbuka kuna kipindi nilikua nao actively 9 walitaka kuniua,nilijikuta naishi kwa madeni hadi nikataka kuchanganyikiwa ukiachilia mbali wa one and two night stands mshahara ulikua unaisha kabla hata haujatoka.Hapana mmoja atosha ukifanya tathmini mkoloni yako ya zamani uliyoyapa uhuru au mengine kwa kibri yamejitangazia uhuru vikianza viboko mara huyu mdogo wake ana harusi yule kaka yake anatakiwa aende India so mchango wako unatakiwa achilia mbali viboom vya voucher na lunch uuuuh hapana bora mmoja.
Hitimisho ulichomokaje au bado hujawapa uhuru makoloni yake au yana mamlaka ya ndani kama Palestine?Niulize mimi gharama ya kumiliki wanawake wengi, i am not recommending this to any one, nakumbuka kuna kipindi nilikua nao actively 9 walitaka kuniua,nilijikuta naishi kwa madeni hadi nikataka kuchanganyikiwa ukiachilia mbali wa one and two night stands mshahara ulikua unaisha kabla hata haujatoka.
Najua for a man ni fahari kumiliki wanawake wengi, hii ni kawaida kwa male gender yoyote iwe ya kuku, mbuzi au simba ila ukiwa nao wengi wasizidi 3.
Kua nao 9 kma mimi hawa wa digitali, hutu anataka note 4, huyu anataka shoping mliman city,huyu anataka wkend umtoe mkaogelee kiwanja kikali,huyu kaka yake anaumwa,huyu anataka umpangie chumba ahame kwao, huyu anataka kile.
Wanawake wengi ni kujitakia umasikini ingawa sishauri kua na mmoja.
Wapo kama palestine, wana mamlaka ya ndani ila nikitaka kkuwaingilia kijeshi sina kipingamizi.Hitimisho ulichomokaje au bado hujawapa uhuru makoloni yake au yana mamlaka ya ndani kama Palestine?
Inaonekana una nyota ya kupasha viporo.Wapo kama palestine, wana mamlaka ya ndani ila nikitaka kkuwaingilia kijeshi sina kipingamizi.
Usimuache mwanamke,mpe likizo au uhuru wa kufanya mambo yake,siku ukiishiwa kabisa unakumbushia unapewa mechi za kirafiki za hapa na pale.