Pole boss, wengi wame kushauri vema. Kikubwa usikate tamaa, kila kazi inachangamoto zake. Hasara ya 40mil kwenye madini ni hasara ndogo sana, ni kugusa tu. Inshort bado haujapata hasara ingawa haitakiwi upate hasara.
Tafuta wazee ambao ni wenyeji na ulipo, watakupa muongozo wa wapi uende /...
The issues born out of wedlock are innocent creatures. There is a Swahili phraseology "kitanda hakizai haramu' which literally means there are no bastard children. But there are bastard parents. The child is not culpable for its parents' shortComings nor can he or choose the situation they are...
Kwa miaka hii michache ambayo Rais Samia amekaa madarakani ame prove kuwa yeye ni mmoja wa marais bora kuwai kutokea duniani.
Rais Samia amefanikiwa kwa muda mchache sana kuturejeshea furaha, tabasamu na uhuru wa Tanzania ingawa anapambana na vita kali sana ya kiuchumi na kiungozi kutoka kwa...
Wazee washauri wa CHADEMA mpo?mmejificha wapi? Jitokezeni muwashauri hawa viongozi, ni wazi wameamua kutumia suala la bandari kama kichaka chao cha kupiga fedha za chama. Kwanini?
1. Kwa makusudi wameamua kutumia nguvu isiyo sahihi kuikosoa serikali iliopo madarakani.
2. Gharama wanazozitumia...
Asante kwa story yako...
Endelea kutafuta sifa na kujisifia upuuzi hivi hivi kwenye mitandao mpaka utakapo kuwa ndio uwache. Pia ukienda shule usisahau kuwa adithia na wenzako hii stori.
Huja itendea haki mzumbe.
Mpaka sasa inaonesha una vyeti ila knowledge huna.
Tujulishe na jinsi ulivyo ipata degree yako maana vyuoni lecturers wanasifika kwa kupenda ngono in return of good course work.
Kuhitimu chuo sio tatizo. Je ume hitimu na GPA yangapi ?.
Unayo knowledge ya law kichwani.
unauwezo waku figure out issues and apply law in any litigation.
Fanya kazi ya kujitolea sehemu yoyote ile kwanza wapime uwezo wako pia upate experience.
law ni experience na knowledge.
Kwa serikali hii iliyopo inayo jua kuimba wimbo wa utawala bora ila vitendo vyake tofauti na utawala bora sio kitu cha ajabu kwao Rais kukutana na jambo kama hilo.
Watawala wetu wanajitumikia wao wenyewe binafsi baadala ya kutumikia wana nchi ndio maana habari za ufisadi au uhujumu uchumi hazi...
Nizamu kitu cha muhimu sana.
usimseme ovyo boss wako. Tumia busara kumuambia ukweli kama anatatizo ajirekebishe au tumia nafasi yako kumsaidia aepukane na hilo tatizo.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.