Bosi, Mdomo wako unanukaaa!

Jambo Tz

JF-Expert Member
Jul 19, 2013
648
250
Mpaka kufikia kuandika mtiririko huu ni huyu bosi wetu na hata wako pia, Mdomo unanuka sijui kala nini mmmmh! Shhhhh
ni mtu mzima wa heshima lakini hajijali kuhusu kinywa chake
Ni vyema kwa wale woooooote mnaokuwa katika magurupu kuhakikisha kabla ya kuachia tabasam kinywa chako ni kisafi itapendeza
hata wewe unaye soma hakikisha kabla hujacheka kilicho andikwa hakisha umeswaki
 
chakii

JF-Expert Member
Sep 15, 2013
18,915
2,000
dah mkuu ningekuona wa maana kama ungemuambia mwenyewe ili abadilike,..
 
lyinga

JF-Expert Member
Nov 18, 2013
2,498
0
Umeona hawa ndo wale wakiwa faraga na wapendwa wao siri za ndani wanazipeleka kwa maswahiba uchwara sasa hapo umemsaidiaje kama sio kumharibu kisaikologi nunua hata med oral utakuwa umemsaidia sana
 
Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Aug 10, 2009
13,154
2,000
Mpaka kufikia kuandika mtiririko huu ni huyu bosi wetu na hata wako pia, Mdomo unanuka sijui kala nini mmmmh! Shhhhh
ni mtu mzima wa heshima lakini hajijali kuhusu kinywa chake
Ni vyema kwa wale woooooote mnaokuwa katika magurupu kuhakikisha kabla ya kuachia tabasam kinywa chako ni kisafi itapendeza
hata wewe unaye soma hakikisha kabla hujacheka kilicho andikwa hakisha umeswaki

Ni aina gani ya kazi unayofanya of which unalazimika kubusu kinywa cha bosi wako? Hujui kinywa kutoa harufu ni mojawapo ya indication ya casuality kazini? Seem bosi wako ni mchapa kazi mzuri hana muda wa kupiga umbea umbea!
 
charty

JF-Expert Member
Oct 28, 2013
7,395
2,000
Dah huo utakua ni ugonjwa bana unaohitaj daktari cyo bure!anaeza akawa anasafisha kinywa ila ndo hvo tena.!
 
Horseshoe Arch

JF-Expert Member
Aug 10, 2009
13,154
2,000
Mpaka kufikia kuandika mtiririko huu ni huyu bosi wetu na hata wako pia, Mdomo unanuka sijui kala nini mmmmh! Shhhhh
ni mtu mzima wa heshima lakini hajijali kuhusu kinywa chake
Ni vyema kwa wale woooooote mnaokuwa katika magurupu kuhakikisha kabla ya kuachia tabasam kinywa chako ni kisafi itapendeza
hata wewe unaye soma hakikisha kabla hujacheka kilicho andikwa hakisha umeswaki

Ni aina gani ya kazi unayofanya of which unalazimika kubusu kinywa cha bosi wako? Hujui kinywa kutoa harufu ni mojawapo ya indication ya casuality kazini? Seem bosi wako ni mchapa kazi mzuri hana muda wa kupiga umbea umbea!
 
lawyer lawyer

Senior Member
Jul 29, 2012
142
170
Nizamu kitu cha muhimu sana.
usimseme ovyo boss wako. Tumia busara kumuambia ukweli kama anatatizo ajirekebishe au tumia nafasi yako kumsaidia aepukane na hilo tatizo.
 
ndetichia

JF-Expert Member
Mar 18, 2011
27,683
2,000
Mpaka kufikia kuandika mtiririko huu ni huyu bosi wetu na hata wako pia, Mdomo unanuka sijui kala nini mmmmh! Shhhhh
ni mtu mzima wa heshima lakini hajijali kuhusu kinywa chake
Ni vyema kwa wale woooooote mnaokuwa katika magurupu kuhakikisha kabla ya kuachia tabasam kinywa chako ni kisafi itapendeza
hata wewe unaye soma hakikisha kabla hujacheka kilicho andikwa hakisha umeswaki

wewe ni me au ke?
 
mroya

JF-Expert Member
Mar 27, 2013
279

weka picha yake na jina tafadhali.
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
40,173
2,000
Mpaka kufikia kuandika mtiririko huu ni huyu bosi wetu na hata wako pia, Mdomo unanuka sijui kala nini mmmmh! Shhhhh
ni mtu mzima wa heshima lakini hajijali kuhusu kinywa chake
Ni vyema kwa wale woooooote mnaokuwa katika magurupu kuhakikisha kabla ya kuachia tabasam kinywa chako ni kisafi itapendeza
hata wewe unaye soma hakikisha kabla hujacheka kilicho andikwa hakisha umeswaki

Buy for Him some Bubble Gums ( Big G ) Kwani itamsaidia Kama Ambavyo Nimesikia Kumbe hata Aliyekuwa Meneja wa Man United Sir Alex Ferguson Nae Ana Tatizo la Kunuka Mdomo na Ndiyo Maana Haishi Kutafuna Big G:smile-big: Kazi ipo Nitakomaje? Na hivi Timu Imefanya na Inafanya Vibaya!!!!!!!
 
masopakyindi

JF-Expert Member
Jul 5, 2011
14,970
2,000
Mpaka kufikia kuandika mtiririko huu ni huyu bosi wetu na hata wako pia, Mdomo unanuka sijui kala nini mmmmh! Shhhhh
ni mtu mzima wa heshima lakini hajijali kuhusu kinywa chake
Ni vyema kwa wale woooooote mnaokuwa katika magurupu kuhakikisha kabla ya kuachia tabasam kinywa chako ni kisafi itapendeza
hata wewe unaye soma hakikisha kabla hujacheka kilicho andikwa hakisha umeswaki
Mdomo kutoa harufu mbaya kuna sababu nyingi sana.
Commonly kuna hali inaitwa halitosis.

Mimi si daktari lakini niliwahi kufanya uchunguzi juu ya hali hiyo kutokana na mpenzi wangu ambaye alikuwa mrembo sana na anafigure ni balaa! Lakini mdomoni harufu ilikuwa inaniput off!!

halitosis:
Halitosis, colloquially called bad breath, is a symptom where a noticeably unpleasant odor is present on the exhaled breath. Concern about halitosis is estimated to be the third most frequent reason for people to seek dental care, following tooth decay and periodontal disease (gum disease),[1] and about 20% of the general population are reported to suffer from it to some degree. However, not all people who think they have halitosis have a genuine problem, and this phenomenon is called pseudohalitosis, halitophobia, or many other names.
As a percentage of people who think they have halitosis and seek treatment, between 5 and 72 percent have been reported to have no genuine halitosis when professionally examined. Of those people who have genuine halitosis, about 90% of the time the odor is caused by something in the mouth, commonly odors released by bacteria present below the gumline and on the back of the tongue. The remaining 10% is accounted for by many different conditions, including disorders in the nasal cavity, sinuses, throat, lungs, esophagus, stomach or elsewhere.
Very rarely, halitosis can be one of many symptoms of a serious underlying medical condition such as liver failure, but in the vast majority of cases the cause is minor and can often be reduced by adjustments to oral hygiene, including brushing or gently scraping the back of the tongue and improving the health of the gums, e.g. by using dental floss. Occasionally however, especially if the origin of the odor is not in the mouth, halitosis can be more difficult to diagnose and to manage successfully. Bad breath is a social taboo, and as a result sometimes psychologic or social problems can develop, such as social anxiety and depression.
 
marejesho

JF-Expert Member
Jan 6, 2011
6,642
2,000
Haya wee....

Nimemmiss teacher wangu wa Navigation..... Yule baba tungeanzaje kumuambia kuhusu mdomo wake?
Ilikuwa ngumu aisee....
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom