Mrembo maarufu akamatwa na unga (developing...)

Mrembo maarufu akamatwa na unga (developing...)

Inasemekana ni yule Jackline Cliff ambaye ametokea kwenye video ya nataka kulewa ya Diamond na she got a gwan ya Marehemu Mangwair
 
Kuna taarifa kuwa binti mmoja maarufu katika fani ya urembo/umiss na pia ametokea kwenye videos za bongoflava amedakwa na unga huko Far East. Hii ni developing story...I will name her when it's confirmed 100%

Come again with proof.
 
zairwa zope zairwaaa,nimana barabara eeee
bazara nabazoroo,kangalokola kakeeeeee
mbona kanditatila mareshaaa,mobutu sesesekooooooox2

dozara sese doazara floo,ibokrezii doboyiii
engatitideboyii,nani ye kokiko sunga yekolo
sokimobutu tena nimosusu,mabutu seseseko

,,chatumukali mependa sana hii muziki yetu moya!
 
Nimekumbuka enzi za Mikolo Mileki Mingi!.
Huo mzigo ulikuwa ni kwaajili ya sikukuu!
Merry X-Mass
Pasco
Viva christmass ya Baba Gaston Ilunga wa Ilunga Na Embakassy kwaheri ha ha ha!
 
Tosabiso abangise mopepe santu nalikolo naipele botema nangae nono ya Yezu mwana nzambe CHISTMASE mobili mobimba naitese didii moningate na losambo ya nkolo nzambe nalobi ya bon a'nnee'. Motema nayaya tete nangai. Izamote na mwana Nzambe ya 2014

Operation Kimbunga inakuhusu
 
Ok kwa wale walokuwa wakilalamika 'habari nusu nusu' huyo binti anaitwa Jackie Cliff. ..appeared in Diamondz Nataka Kulewa. Was a runners up or something kwenye miss tz huko nyuma.

Uaaaaa nyongaaaaaaa wanatuzalilisha daily.
 
Back
Top Bottom