Haule, karibu JamiiForums.
Leo hii nimekereka sana na suala la udini. Mimi ni Mkatoliki lakini siko tayari hata kwa kuning'inizwa kumtazama Dr Salim kama Mwislam. Dr Salim si Mwislam, si Mzanzibari, si Mwarabu, si Mwanaume. Dr Salim ni Dr Salim. Dr Salim ana-occupy special position katika nchi...