Nahitaji kupata Majarida ya "Sani"

Nahitaji kupata Majarida ya "Sani"

Unajua ile mzazi anakuja nalo alafu hajamaliza kusoma siku hiyohiyo na asubuhi anaenda nalo kazini, tuliobaki nyumbani tunaomba akirudi awe amemaliza ili nasi tupate kuchungulia, nione madenge kamwingiaje mzee wake, pimbi kaopoa mshangingi wa aina gani alafu mission ikafeli, ndumilakuwili nae katika harakati zake za wizi bila kusahau maneno ya shombo ya mzee Lodilofa na kigari chake kile kwa wazee wenzake hapo bado hujamalizia tambo za Betina kwa Zena huku bi mkubwa wake Betina akila serveillence na ungo wake home kwa Zena kumnyong'onyesha siku ya pambano mwanae ashinde😂😂😂😂
Mkuu fyddell Fanya mchakato uyahamishie soft copy, unaweza sambaza kirahisi
 
rekebisho kidogo wahusika kipepe na ndumilakuwili ni wa marehemu Philip Nduguru
Cha kufurahisha ni kuwa, hata wachoraji wengine waliokuja baada ya Ndunguru, waliwaendeleza wale wahusika, kwa picha zile zile. Akina Kaduma, Marco Tibasima, Fortunatus Ndila kule BONGO nk.
 
Daaah! umenikumbusha mbali enzi hizo nikiwa darasa la Kwanza na la pili nilikuwa napenda kusoma story za kina madenge,kipepe n.k.kwenye gazeti la Sani.Vilichangia Mimi kujua kusoma na kuandika haraka watunzi waliitendea haki Sanaa yao, walitupa burudani bila kumsahau kifimbo cheza na wachafuzi wa lugha.
118208725_3211318035650999_7849497894948619808_n.jpg
 
Daaah! umenikumbusha mbali enzi hizo nikiwa darasa la Kwanza na la pili nilikuwa napenda kusoma story za kina madenge,kipepe n.k.kwenye gazeti la Sani.Vilichangia Mimi kujua kusoma na kuandika haraka watunzi waliitendea haki Sanaa yao, walitupa burudani bila kumsahau kifimbo cheza na wachafuzi wa lugha.View attachment 1556264
Naona picha ya kisasa zaidi! Mpaka smart phone bwana! Ila, sijapenda shati la Mzee Meko. Au anamwakilisha huyu Meko wa Magambani?
 
Daaah! umenikumbusha mbali enzi hizo nikiwa darasa la Kwanza na la pili nilikuwa napenda kusoma story za kina madenge,kipepe n.k.kwenye gazeti la Sani.Vilichangia Mimi kujua kusoma na kuandika haraka watunzi waliitendea haki Sanaa yao, walitupa burudani bila kumsahau kifimbo cheza na wachafuzi wa lugha.View attachment 1556264
Hahahahah, huyu jamaa kawachora, maana naona hawa wako kisasa zaidi! nimeangalia muonekano, unaona kabisa hao sura ni zile zile ila muonekano wa kisasa zaidi.

Hongera we jamaa, kipaji unacho,
 
Sasa hivi kawafanya wako Vijana zaidi,siyo mwanzo walikua wanaonekana wamesha zeeka!!
 
fyddell kaa nini usifanye scanning halfu unaweka Dropbox kisha una share link? Wadau wengi nadhani aatakuwa tayari ku support au hata kusaidia kufanya scanning.

Ni kumbukumbu nzuri sana ya sanaa zetu. Ni bahati mbaya wahusika hawakuwaza kutunza sanaa zao. Na kwa sababu wengi ni marehemu nadhani hakuna anayewaza hili.

Kuna vile vitabu vya shule vya ziada na kiada early 90s sina hakika kama tumevitunza
 
Wazo lako zuri sana mkuu. Nikipata muda baada ya kurudi nilipo nakuwa na access na hivyo vijarida nitafanya hivi na si kumtumia mtu mmoja mmoja.
Ila wazo hili lilikuja baada ya kama mtafutaji atakuwa hajayapata mpaka nitakaporudi na kwasababu wahitaji wamejitokeza wengi, basi sina budi kufanya hivyo au mwingine yeyote ambaye nae ana access nayo anawezafanya kabla ya ule muda niliouahidi mimi.
We are here to learn and to refresh our minds
Pamoja sana mkuu
 
Wazo zuri Sana. Sio sani tu na hata bongo
 
Bado tunasubiri mkuu!!
 
Mkuu tutaendelea kusubiri au kama ulianzisha uzi wako kuhusu jambo hili tunaomba ututag tuje kaka 🙏
 
Daaah! umenikumbusha mbali enzi hizo nikiwa darasa la Kwanza na la pili nilikuwa napenda kusoma story za kina madenge,kipepe n.k.kwenye gazeti la Sani.Vilichangia Mimi kujua kusoma na kuandika haraka watunzi waliitendea haki Sanaa yao, walitupa burudani bila kumsahau kifimbo cheza na wachafuzi wa lugha.View attachment 1556264
Kumbe madenge kitambo eeeh me nimeanza kumjua miaka ya 2009
 
Back
Top Bottom