Amani mfaume
JF-Expert Member
- Dec 13, 2016
- 3,259
- 1,389
- Thread starter
- #4,481
Ndugu mtoa tangazo la biashara je kwa sie wa hali ya chini anzisha group la kucheza mfano 5000 kila siku inapofika target mtu anakuja kuchukua biadhaa
Noted
Ndugu mtoa tangazo la biashara je kwa sie wa hali ya chini anzisha group la kucheza mfano 5000 kila siku inapofika target mtu anakuja kuchukua biadhaa
Kaka nitapata jiko la gas plate 2 la mezani,von hotpoint.
Na bei taken kaka
Hizi Samsung TV ni OG.?View attachment 2662647
View attachment 2662648
View attachment 2662649
*OFFER Kwa Samsung TV
Jipatie Samsung TV Kwa bei ya OFFER kama ifuatavyo
32” Normal = Price 410,000
32” Smart = Price 490,000
40”Normal = Price 520,000
40” Smart = Price 650,000
43” Smart = Price 700,000
43” Smart 4K = Price 980,000
50” Smart 4K = Price 1,270,000
55” Smart 4K = Price 1,370,000
65” Smart 4K = Price 1,850,000
75” Smart 4K = Price 3,350,000
85” Smart 4K = Price 5,000,000
Free Home & Office Delivery
Free Bracket
️Whatsap & Call 0672852415
Tupo kariakoo Uhuru/Sikukuu st
NB. “ (Inches) Karibuni wote ofa hii kwaajili ya kila mmoja lengo ni kupata bidhaa orijino Kwa bei nafuu
Hizi Samsung TV ni OG.?
Hizi Samsung TV ni OG.?
Mimi pia ningependa jibu la hoja yako.Amani mfaume
Kama kuna namna unaweza kutoa darasa hapa kuhusu AIR COOLERS itapendeza sana, nimekuwa nikiziona na kutamani nijipatie moja ila nahitaji elimu kidogo.... ikikupendeza hebu turahisishie maisha kwa wengi wetu ni majitu mageni haya.
Pia ushuhuda kwa wadau wale ambao wamekuwa wakitumia hizi vitu, tupeni mrejesho ili nasi tuamue vema tufaidi kipupwe.... yaliyomo yamo..?
Hakuna wenye experience na hivi vifaa hasa kwa maeneo ya DSM?Mimi pia ningependa jibu la hoja yako.
Nini faida ya Air cooler ukilinganisha na mist fan?
Tofauti ya kiwango cha ubaridi ikoje kati ya vitu hivyo viwili?
Kama kuna watu wana uzoefu navyo watusaidie kwa ushuhuda na ushauri.