Mimi nachukia sana "matusi". Kwa nini watu tulimchukia Lusinde wakati sisi wenyewe tunakazana kufanana naye?
Mimi sitaki kuzungumzia kabisa Muungano wala Wazanzibar bali nataka kuzungumzia kwa nini wazanzibar wanatumiwa na wanasiasa uchwara kwa maslahi yao. Kwanza kutokana na udongo wa eneo la Zanzibar ni rahisi kufanya siasa za kuhamasishana kuchukia au kupenda kitu fulani. Sote tunakumbuka kwamba si wakati wa Mzee Karume,Mzee Mwinyi, Mzee Jumbe, Mzee Abdulwakil (R.I.P) ambako kulikuwa na huu ubaguzi uliokithiri namna hii.
Salimin Amour alipoingia madarakani Zanzibar na muda wake ulipokaribia kuisha. ndipo hizi habari za ubaguzi namna hii zilipoanza kusikika. Wakati huo ndipo shriki za "mafuta" ya Zanzibar kuweza kuigeuza kuwa Dubai ya Afrika Mashariki ilipoanza. Matatizo ya Zanzibar si Muungano wa Watanganyika bali ni wanasiasa wao wanaofikiri bila kuitaja Bara wao hawana hoja za kujihalalisha kwa wazanzibar wenzao.
Hili la Jusa linatokana na ukweli kuhusu Urais wa mwaka 2015 ambapo kutokana na hali halisi ilivyo atatoka Bara... Lakini si tu Rais ajaye atatoka Bara lakini pia atatoka chama kingine (kinaweza kuwa CHADEMA) mbali ya CCM au CUF. Na kwa kulijua hilo wao wameanza kujilinda kabla ya kutokea la kutokea.
.
Ignorance and prejudice are the handmaidens of propaganda. Our mission, therefore, is to confront ignorance with knowledge, bigotry with tolerance, and isolation with the outstretched hand of generosity. Racism can, will, and must be defeated. ― Kofi Annan
.
"JAMHURI YA WATU WA ZANZIBAR KWANZA"huu ni msemo uliotawala huko zenj kipindi hichi tunachoelekea kuandika KATIBA MPYA.
Sijajua kwa sie watanganyika tunamsemo upi?kuelekea uandikaji wa KATIBA MPYA.
Hatupaswi kumlaumu MH.JUSSA na kumbebesha dhabi ya ubaguz lkn tunatakiwa tujue JUSSA anasimamia kile wazanzibar wanachokitakaaa.
Umehusu CUF nini?jussa is right
Hivi watanganyika mnawabembeleza nini hawa wazanzibar?
Ufike wakati sasa tuwarudishe watu wetu na wao tuwatimue bongo.
Tumewachoka. Ufike wakati tuwe na msimamo mkali.
Shame on you jussa
Munapotazama hili musimuangalie Jussa tu lakini tazameni pia na Wazanzibari zaidi ya 95% ambao wanatamka na kuchapisha maslogan ya JAMHURI YA ZANZIBAR KWANZA, ZANZIBAR BILA YA MUUNGANO INAWEZEKANA NK. Kumbukeni nao wote ni Majussa! Kwa sasa Zanzibar hakuna Jussa mmoja bali wote wamekua Majussa hakuna tena CCM wala CUF!
wakuu mimi nataka nijue kinachowapa kiburi hawa wa zanzibar ni nini.?