Baadhi ya Wazanzibari Wapinga Muungano wadai kura ya maoni kuhusu Muungano

enyi wazanzibar ukija msaada kutoka nje ukiwa titled kwa jamhuri ya muungano na nyie mnapewa chenu, ukuja msaad kwa serikali ya mapinduzi sisi wabara hatuna chetu, kwenye bajeti ya serikali ya jamhuri na nyie mumo ya kwenu sisi hatumo, badi kwenye tume ya katiba mna wajumbe sawa na sisi sasa mnataka mpewe nini?
 
Napenda niwashauri watanzania tusiwe washabiki bali tutafakari madhara yatakayojitokeza baada ya Muungano kuvunjika. Kama naelewa nalinganisha na EAC ya miaka hiyo ilipovunjika madhara nafikiri yanajulikana je na hili tukiliachia tu bila kutafakari tutajuta msiwaone wapumbavu wanaowapuuza hoja ya kuvunja muungano kuna siri kubwa ndani yake ambayo sina uhakika sana inaweza ikaleta madhara kwa kiasi kwa Tanzania bara! Hivyo tutafakari kabla hatujachukua hatua! Nikiwafuatilia sana waznz wameona kitu ndani yake sasa kikifumbuliwa ndani ya Muungano wanahisi tutafaidi wote hivyo wanatafuta mbinu.
 
DEMOCRACY, Nihaki yao kudai kura ya maoni. Kwani kuna kosa. Acheni kuwadharau wazanzibari. Eti nyanya bara, mchele bara, nyinyi mumesahau mulikuwa hamuna hata colgate?.Hahhahahah ni kichekesho. Muungano umekwisha ni sanduku limekwisha tiwa maiti tunasubiri askofu asome somo la mwisho tukazike.
 
Naunga mkono waondoke haraka wanachelewa, anayewang'ang'ania ahamie zanzibar. Ona wanavyotuburuza , waziri wa majeshi wao, waziri wa mambo ya ndani wao, makamu wa rais wa kwao na wanawatumia kupitisha mambo yao huku Tanganyika lakini bado wanasema wanaonewa, hata leo watangaze tu kuwa Zanzibar ni jamhuri na siyo sehemu ya Tanzania. Au niwatangazie mimi maana naona wanachelewa, Tangazo rasmi: leo tar 12.4.2012, nautangazia ULIMWENGU kuwa Kisiwa cha Zanzibar ni Jamhuri kamili na siyo sehemu ya muungano wa tanzania, naomba ifahamike hivyo na wazanzibar wote mlio nje ya Zanzibar nawaomba mrejee nyumbani ili tujenge nchi yetu, wanajeshi wote kutoka Tanganyika nawaomba mrejee kwetu, hadi kesho saa 12:00, jioni hamtakiwi kuwepo ktk ardhi ya Zanzibar. Vijana wa zanzibar jitokezeni kwa wingi mjiandikishe kutumikia jeshi lenu. Nawatakia maisha mapya na yenye uhuru salama. RAIS WA JAMHURI YA ZANZIBAR.

maneno yako kuntu yakhe n'gombe. tangazo ni mutribu kabisa
 
hivi nyie wabara mnang'ang'ania nini muungano!!!, kama una faida tuelezeni , wazanzibari wana haki ya kuwa na nchi yao, hivi si mnaweza kuwa na muungano wa kibiashara tu,? hebu waacheni wazanzibari wafanye mambo yao na nyie mlioitupa Tanganyika yenu irudisheni muanze taifa lenu upya. au hamuezi jiendesha wenyewe??
 
Kikweli nyerere alikuwa na maono ya mbali namnukuu"Ningekuwa na uwezo kisiwa hiki ningekisukumia mbali huku..kitakuwa tatizo siku zijazo"
 
Kikweli nyerere alikuwa na maono ya mbali namnukuu"Ningekuwa na uwezo kisiwa hiki ningekisukumia mbali huku..kitakuwa tatizo siku zijazo"

Kweli aliona mbali, mkituachia tu, tunageuka somali ndogo, tutaingia dar kama alshabab wanavyoingia nairobi, msilogwe.....
 
..ni haki yao kudai kura ya maoni.

..mimi ningependa waje na huku Tanganyika, waende Dodoma kwenye kikao cha bunge, na ku-stage maandamano yao.
 
mkuu kwa hiyo dhambi hiyo aliyoisema Nyerere wataibeba nani? Wabara au wazenji?

Dhambi atabeba mwenyewe Nyerere... Alifikiri kuwa anaweza kuvinyakua visiwa vya Zanzibar lakini vimemshinda njiani. Mapambano yanaendelea.
 
Kweli bwana, wazanzbar wanatunyonya sana mbunge mmoja wa zanzibar anachaguliwa na watu 2000, mbunge wa bara watu 60000, na wanalipwa sawa! Zanzibar ina watu milion wajumbe wa katiba 15, bara ina watu milion 39 ina wajumbe wa katiba 15. Mzanzibar anamiliki ardhi bara na zanzibar! Mbara anaruhusiwa kumiliki ardhi bara tu! Zanzibar wabunge wao wanaingia kwenye bunge letu lakini sisi haturuhusiwi kuingia kwenye bunge lao. Tunawapa umeme! Kama mwanamke habebeki, wasepe zao tatizo ni hawa viongozi hawa wa ccm wanawalazimisha kwenye muungano!!
 
Tuwape likizo ya miaka mitano alafu tuone.kwenye kipindi iko cha likizo wa Zanzibar walio bara waondoke na wale Watanganyika walio zanzibar waondoke.kwenye likizo hiyo hakuna wa kumuomba mwenzio msaada wa aina yoyote
atakae chemsha kwenye kipindi iko cha likizo ndio atakae kuwa sehemu ya nchi kwa matakwa ya mwenye nguvu ndio mwenye sauti na asie na nguvu kuwa mjumbe ndio
 
Kweli aliona mbali, mkituachia tu, tunageuka somali ndogo, tutaingia dar kama alshabab wanavyoingia nairobi, msilogwe.....

Ahahaa some people are funny, Mwana stop PRETENDING kama wewe ni mzenji, "msilogwe" we zanzibaris dont replace R for L!
 
Hawa Wazanzibari wananikera sana. Ingekuwa juu yangu ningekuwa nishawapotezea na hicho kinchi chao.

Kama musemavyo wenyewe kuwa Tanganyikaimebarikiwa kila madini lakini tatizo lenu ni ujambazi uliokiasiri imekuwa kama ndio utamaduni wenu katika mfumo wa kuendeshaserekali.

Na jambo kubwa zaidi ninyi hata mubarikiwe vipi lakinihamutosheki na kila kitu munavunnganyiatu.

Sisi na utajiriwenu wote huo sisi hautushuhulishi na ndio wazanzibar kwa sauti moja tukatakakuvunja Muungano na Majambazi.

Ikiwa Wazanzibar bizaa zote za mahitajio wanachukuwakutoka kwenu , jee ruwanda na BurundiMunawauzia au munawapa bure kama Wazanzibar?.

Ndio maana mukatuletea Dudu la TRA huku Zanzibar haliyakuwa sisi hatujawaletea (ZanzibarRevenue Board – ZRB) huu ndio ujambazi na wizi.

Sisi tukivunja Muungano majumba na maduka yote tutawashiamuyaendeleze , ikiwa ndani ya nchi yenu mumezidiwa kede itakuwa tukicha toka?.

Nyiyi ustarabu na ujanja tumewafundisha sisi jinsi yaungwana na ujanja nyiyi skill yenu ni ujambazi na kukwabua.
 
Napenda niwashauri watanzania tusiwe washabiki bali tutafakari madhara yatakayojitokeza baada ya Muungano kuvunjika. Kama naelewa nalinganisha na EAC ya miaka hiyo ilipovunjika madhara nafikiri yanajulikana je na hili tukiliachia tu bila kutafakari tutajuta msiwaone wapumbavu wanaowapuuza hoja ya kuvunja muungano kuna siri kubwa ndani yake ambayo sina uhakika sana inaweza ikaleta madhara kwa kiasi kwa Tanzania bara! Hivyo tutafakari kabla hatujachukua hatua! Nikiwafuatilia sana waznz wameona kitu ndani yake sasa kikifumbuliwa ndani ya Muungano wanahisi tutafaidi wote hivyo wanatafuta mbinu.
schwesterchen, hivi kuna kitu chochote cha siri kwenye huu muungano?
 
Umri nao unakusumbua hujui usemalo,huna historia ya muungano unaropokwa tuu,jiulize nani anautaka muungano je ni watanganyika au wazanzibar? Wazanzibar hawana shida na huo mnaouita muungano bali watanganyika ndo maana JKN alipiga kelele sana kuhusu fikra za watu walotaka kuuvunja muungano.

Angalia wewe usiwe kubwa jinga kama unadhani ukubwa wa pua ndio wingi wa kamasi... soma alichoandika mzanzibari mwenzenu hapa
http://www.kongoi.com/politics/professor-haroub-othman-zanzibar-and-tanganyika-union/page-3.html
 
Hapana, hapana. Suala muhimu ni muundo wa muungano si kuvunja muungano. hili jambo ni zito katika mustakabali wa katiba mpya.
 
Dhambi atabeba mwenyewe Nyerere... Alifikiri kuwa anaweza kuvinyakua visiwa nya Zanzibar lakini vimeshinda njiani. Mapambano yanaendelea.

Kwa aina ya mdomo ulio nao sitegemei kitoke cha tofauti na utumbo unaouandikaga kuhusu Mwalimu (RIP).Sijui hayo mapambano unapambana na nani na wapi....Kwani kama ndoa imekuchosha si unafungasha tu....
 
Muda ukifika kauli ya kuvunja Muungano itatoka Tanganyika...Watu wanajipanga vizuri tu, katika kila hali. Vijana wetu wako standby ...Mutamfukua Nyerere awape muongozo .
 
Kwa aina ya mdomo ulio nao sitegemei kitoke cha tofauti na utumbo unaouandikaga kuhusu Mwalimu (RIP).Sijui hayo mapambano unapambana na nani na wapi....Kwani kama ndoa imekuchosha si unafungasha tu....

Kumbuka kuwa ndoa ni makubaliano baina ya wanao oana.

sasa kama mmoja imemshinda na anataka kuondoka , yanini mwingine amzuie.

Nafikiri waBara msizuie waZnz kujitoa katika huo muungano.

Back
Top Bottom