Hivi humu JF kuna lawyers wanaoshughulika na mambo ya criminal?...kama wapo/yupo please naona uni -M nataka kuuliza swali la kuhusiana na mambo ya criminal kabla sijaharibu...pleaseee!
very...
Wakulu wote JF, na wananchi wenzangu wote mnaoishi US na hata nje, na hasa New York City na vitongoji vyake,
- Nina furaha kuwafahamisha kwamba kwa niaba ya Balozi wetu wa kudumu katika Umoja wa...
Monday, August 10, 2009 4:50 AM
Mtoto mmoja wa nchini Paraguay ambaye alizaliwa kabla ya muda wake alitangazwa kuwa amefariki, mwili wa mtoto huyo ulikabidhiwa kwa baba yake masaa manne baadae...
Suman Khatun Saturday, August 15, 2009 11:06 AM
Mtoto mmoja wa kike wa miaka mitano wa nchini India humaliza kilo 10 za mchele, kilo tano za viazi na lita sita za maziwa kila wiki asipopewa...
NAFASI YA MASOMOKIDATO CHA KWANZA 2010
Tumeanza kuandikisha wanafunzi wanaotarajia kuingia kidato cha kwanza kwa mwaka 2010. Walengwa ni wahitimu wa darasa la saba.
Interview...
Wadau wa JF,
Kuna Toyota Pickup (Short Chasis) Hilux inauzwa.
Ipo katika hali nzuri kama unavyoiona katika picha.
Hii gari ina engine ya 12R, na ilikua inatumika kama gari ya kutembelea, so...
Je,
Bidhaa yako imekataliwa supermarket kisa haina GS1 Barcode?
Unahitaji kufanya Asset Management kwa kutumia Barcodes au RFID tags?
Una bidhaa ya chakula na haina nembo ya ubora ya TBS na...
Habari wakuu,
Kuna wa kuja mmoja amelazimika kuuza gari yake baada ya kujikuta anashindwa kurudisha marejesho ya mkopo wake bank.
Ni Mark II GR (Ni auto 4 cylinder) Gari ipo katika hali nzuri...
Kwa niaba ya familia ya Bw SAMWEL MBEZI tunashukuru kwa wote waliokuwa nasi katika kutufariji .. katika msiba wa mzee wetu marehemu MR samwel mbezi.....wakati tukisubiri mtoto wa marehemu...
Ni kampuni inayomolikiwa na Mtanzania huko Guanghou China na Inajishighulisha na kuwapokea Watanzania wanaotembelea China. Kwa wafanya biashara utapelekwa hadi kiwandani uchague mwenyewe bidhaa za...
Namshukuru Mungu, Muumba mbigu na nchi kwa wema na fadhili zake na
kwa neema na rehema zake nyingi zisizo ukomo.
Wana JF, ni miezi miwili imepita tangu nionekane ndani ya Jukwaa letu na Bunge...
Nyumba inapangishwa ipo tegeta kibaoni, ina vyumba vitatu vya kulala, master bed room, dinner, store,kwa kweli ni nyumba nzuri ipo ndani ya geti, na kuna choo cha nje, packing na sehemu ya...
Habari za Leo Wakuu,
Nina tegemea kushusha mzigo wa video surveillance systems (complete with cameras + DVR) kuanzia tarehe 20
Kuna aina tatu za systems:
Zenye uwezo wa kuunganisha camera 4...
Karibu mwezi mtukufu wa Ramadhani ,nawatakia kila lakheri Waislamu wenzangu wote popote pale mlipo ,Inshaallah tuukamilishe mwezi huu kwa kufanya ibada na kuomba msamaha kwa Mwenyezi Mungu mwingi...
Familia ya Bwana SAMWEL MBEZI inasikitika kifo cha BABA yao mpendwa MR SAMWELI MBEZI kilichotokea usiku wa kuamkia leo nyumbani kwake...KIPUNGUN ....maziko yanasubiri watoto wa marehemu walio...
As Received...!
Urgent Warning to All MTN, VODACOM, TIGO AND ZAIN Users.
If you receive a phone call on your mobile from any person, saying that, s/he is a company Engineer or saying that...
Shamba lenye ukubwa wa ekari tatu linauzwa. Shamba liko kigamboni (kati ya km 17 - 18 baada ya kuvuka). Ni nje ya eneo lililotengwa kwa ajili ya uendelezaje wa mji wa kigamboni.
Ni eneo zuri kwa...
Hello wanaJF!
Mi ni kijana ambaye nipo nje ya nchi kimasomo na muda sio mrefu nitarejea nchini kuanza maisha rasmi. Sasa nilikuwa nafiiria sana swala la kujiajiri either kwa kuanzisha biashara...
Wote Mnakaribishwa kwenye BBQ ya Nguvu itakayofanyika Montrose Harbor Beach Ndani ya Chicago siku ya Tarehe 8/8/2009. Hafla Hiyo Itafuatiwa na Dance Party ambapo DJ Dennis na DJ Nasser watawarusha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.