A Get Together for Professionals & TPN AGM on Sunday 14th March 2010 At Ubungo Plaza

Jul 14, 2008
1,820
1,031
Dear Wazalendo and Friends;

On behalf of TPN Executive Committee; I would like to invite you all (Different Professionals, Entrepreneurs; Business People and any Interested Party) to the New Year Get Together Occasion to be held on Sunday 14th March 2010 at Blue Pearl Ubungo Plaza from 6.00 PM. Prior to that, there will be an Annual General Meeting (AGM) of TPN at the same venue from 2.00 PM to 6.00 PM. This is the best opportunity for social networking.

For a Get Together, there will be tasteful Dinner; Music; Dance & Networking. Please never plan to miss this occasion and come with your Spouse/Partner. Every one is welcome; both members and non-members. There will be a lot of other key people whom you can take advantage to network. We will share with you about current TPN Plans including Individual Financial and Marketing Empowerment. Each individual Professional within and outside the country is a target for creating his own wealth as well as helping others. Let us all take this seriously. TPN has also been invited and will attend the Diaspora Conference in London later this month for further networking on your behalf.

There will be a lot of other interesting events. It is a night to remember and again; please do not plan to miss. For a get together occasion, the contribution is TZS 20,000 Per Person or TZS 40,000 Per couple and the amount will cater for Dinner, Music, Venue; Utilities and Facilities. Cost of Drinks will be met by individuals.

For the AGM; the following will be the Agendas:

1. Confirmation of Minutes of 2008 AGM and Matters Arising;
2. TPN Financial Report and Statements for the Year 2008/2009
3. TPN Operations Report for the year 2008/2009 and Current Plans
4. TPN Empowerment Fund – Election of Office Bearers (Supervised by the Registrar )
5. A.O.B

For the AGM all members are requested to attend and there is no any participation fees. Professionals or anyone wishing to become TPN members are invited as well. Individual Membership Registration Fees is TZS 50,000 , Student Membership TZS 10,000 and Corporate Membership Registration is TZS 100,000.

I would kindly request you to confirm to me your participation in AGM and/or Get-Together by EMAIL or even SMS on my Mobile 0754 833 985. Please, Don’t forget to write your full name. Advance payment is requested.

President
Tanzania Professionals Network
president@tpn.co.tz

Nyie bana lazima muandike tangazo kwa kingereza bana? mkitumia kiswahili hamtaonekana kama wataalam zaidi?
 
Nyie bana lazima muandike tangazo kwa kingereza bana? mkitumia kiswahili hamtaonekana kama wataalam zaidi?

Mzalendo Yoyo, Agenda zote na reports zipo kwa Kiingereza.

Lugha ya Mkutano ni Kiswanglish kama kawaida.

Kama uko nje ya Nchi bado unaweza kuwa Mwanachama na hata kujiunga na TPN Fund kujijengea uwezo wa kifedha.

karibu sana Mzalendo.
 
Nimekusoma mkuu.....naogopa sana hivi vyama hasa vya wasomi bana maana huchelewi kuambiwa kuhudhuria ulipe $50 kama wale jamaa fake wa ICT
 
Kiingilio,kiingilio ujasiriamali mpya,bw Msimbe vipi Fibre bana huko kwenu Simbanet mbona mlianza kwa kishindo lakini sasa ni dolo kulikoni
 
Nimekusoma mkuu.....naogopa sana hivi vyama hasa vya wasomi bana maana huchelewi kuambiwa kuhudhuria ulipe $50 kama wale jamaa fake wa ICT

Mzalendo Yo Yo; hayo mambo hayapo TPN. AGM ni Free kwa members. Jioni kwenye kula na kunywa na kujumuika kijamii ndo kuna ada kidogo ya TZS 50,000.

Hii TPN Fund Mkubwa itakuwa katika mfumo mzuri wa kuchangia na kuwezeshana hasa kwa wenye projects zinazouzika. Pia tutautumia mfuko kutoa Guarantee.

Tuunge mkono mzalendo!
 
Kiingilio,kiingilio ujasiriamali mpya,bw Msimbe vipi Fibre bana huko kwenu Simbanet mbona mlianza kwa kishindo lakini sasa ni dolo kulikoni

Haaa haaa Mzalendo umenichekesha sana. Ungependa uje ukae, ule, ucheze mziki, unetwork na wadau kwa mambo mazuri mbalimbali, vyote bure. Someone akulipie?

Mkuu TPN haina mfadhili na tulikataa toka mwanzo kuwa na Donors Syndrome. Au Mzalendo una mawazo mbadala ya kuboresha?

Kuhusu Fiber: Mzalendo, tunaendelea vema sana. Wateja wetu zaidi ya asilimia 95% ni Corporates ndo maana unaona hatupigi kelele sana. Ni door to door Mkuu.

Hata hivyo tumneomba leseni ya National Facility ya kutafuta ni jinsi gani tuwe na infrastructure za fibe nk nje ya DSM.

Somo la Mkongo Wa Taifa bado ni gumu sana ingawa wadau wanalifuatilia sana.

Karibu TPN.
 
Ubarikiwe,itabidi nikuombe ugombee Ubunge hapa Dar tunataka vijana kama nyie ili tusonge mbele
 
FL karibu sana. Kama Mwanataaluma ni jambo jema kuunganisha nguvu na wengine. Ukiwa JF unatoa michango ya kifikra ukiwa TPN unaonyesha vitendo zaidi.

Karibu sana.

Mtsimbe,Ukiwa TPN siyo unaonyesha vitendo zaidi bali unatoa mfukoni zaidi haya aneno mawili yanatofautiana.Huu mtandao siyo NGO yako na wadau fulani fulani?Mbona wanataaluma wa Ufisadi huwakatai kama wanachama?
 
Mzalendo; sidhani kama hapa ni mahali pa malumbano. lakini kama una haja ya kupata data kuhusiana na niliyoyasema au kupata ukweli kuhusu tuhuma zako, bila ya shaka nitafurahi kukukaribisha ofisini. Vitabu vyote na kila kitu cha TPN kiko wazi kwa ajili ya public.

Ni mazoea mazuri tunapoongea vitu tuwe wakweli na kuwa na facts zote.

Karibu kwenye AGM kwa kuhakikisha zaidi.
 
Mtsimbe ukweli ni upi hapa Tanzania?Kama Waziri ana cheti cha kugushi?Utashindwa nini kutuambia kuwa ni kweli TPN ni NGO yako tuu?Kwani Msanii mama Mbene twamjua vema!!
 
Mtsimbe ukweli ni upi hapa Tanzania?Kama Waziri ana cheti cha kugushi?Utashindwa nini kutuambia kuwa ni kweli TPN ni NGO yako tuu?Kwani Msanii mama Mbene twamjua vema!!

Mzalendo;

Bahati mbaya TPN hatufanyi kazi based on hear say. Kama una facts zozote karibu sana. Mengine uliyoyasema na yatakayokuja nakuachia mwenyewe. Huwezi kumzuia binadamu kufikiria anachotaka.

Hata hivyo kama una mawazo ya kuboresha karibu sana.

Finally, thread hii inajieleza ni kwa ajili ya nini.
 
Asnte Msimbe
Mimi niko Tanga kikazi nawatakieni mkutano mwema naunga mkono yote uliyoyasema tuko pamoja kaka nikirudi nitakuja kukuona.
CHARLES NAZI
 
Kama hiyo sio offshoot ya govt cronies, basi sawa!
But i doubt kila mara kuna mtu toka serikalini eti anafungua kikao.
Tumechoka na hawa watu,ndio waliotupa EPA,Meremeta,Twin Towers,Kiwira,Richmond etc etc
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom