Natafuta Toyota Landcruiser Pickup

Masikini_Jeuri

JF-Expert Member
Jan 19, 2010
6,829
1,296
Zinahitajika pickup mbili Toyota Landcruiser; zenye engine ya 1HZ au 1KZ. Ziwe katika hali nzuri Bei at most 18m Tshs.
 
Zinahitajika pickup mbili Toyota Landcruiser; zenye engine ya 1HZ au 1KZ. Ziwe katika hali nzuri Bei at most 18m Tshs.

Bila shaka utapata, kuna dalali hapa JF anaitwa Mhe. Kitomai, huwa ni muuzaji maarufu wa magari online, hasa JF.
Sasa hivi anakuja!

All the best!
 
Bila shaka utapata, kuna dalali hapa JF anaitwa Mhe. Kitomai, huwa ni muuzaji maarufu wa magari online, hasa JF.
Sasa hivi anakuja!

All the best!

Huyu jamaa yuko vizuri kuhakikisha mtwangie kwenye no.0717114409. hii ni No. ya kazi so sioni ubaya kuanika hapa.
 
used; brand new siwezi ziwepo hapa nchini ! na ikiwezekana kusiwepo mizengwe ya duties; lakaini hata zenye duties tuongee bei.

Asanteni wadau.
 
Back
Top Bottom