Mkapa atoa pole kwa balozi mstaafu daraja | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkapa atoa pole kwa balozi mstaafu daraja

Discussion in 'Matangazo madogo' started by MziziMkavu, Mar 11, 2010.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Mar 11, 2010
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,611
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  [​IMG]
  Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamin Mkapa, akishuka kwenye gari nyumbani kwa balozi mstaafu, Andrew Mhando Daraja, huko Kimara Temboni jijini Dar es Salaam kwa ajili ya kumpa pole kwa kufiwa na mkewe marehemu Bi Anna Daraja.

  [​IMG]
  Mkapa akisalimiana na baadhi ya maofisa wastaafu majira ya saa 10 adhuhuri leo. Kushoto kwake, mwenye kandambili, ni Balozi Daraja aliyefiwa na mkewe.

  [​IMG]
  Mkapa akisaini kitabu cha maombolezo nyumbani kwa balozi huyo.

  [​IMG]
  Mkapa akiwa ameketi kwenye kochi na maofisa wengine waandamizi akipewa taarifa na balozi kuhusu msiba wa mkewe.
   
 2. M

  Mokoyo JF-Expert Member

  #2
  Mar 11, 2010
  Joined: Mar 2, 2010
  Messages: 14,813
  Likes Received: 1,977
  Trophy Points: 280
  Nami naungana na Mhe. Mkapa kumpa pole Balozi Daraja kwa kifo cha mkewe mpendwa. Hakika ni mauaji ya kutisha sana na ya kuhuzunisha pia. Hope waliofanya hivyo watakamatwa na kuchukuliwa hatua kali za kisheria
   
Loading...