Walimu,walimu,walimu.

imma.one

JF-Expert Member
Sep 10, 2011
542
37
Je wewe ni mmiliki wa shule ya awali,upili wa chini ama upili wajuu.
Namaanisha Nursary,Primary au secondar na unahitaji walimu wenye uwezo wa juu.ZENITH Tunao walimu wa aina hizo.
Pia tunapokea walimu wanajiamini na uwezo wa hali ya juu.
Interview zinafanywa na wakuu washule ofisini kwetu na kupatiwa kazi.
Mwalimu akipitishwa na zenith ni mmbora kwani hama hataweza utamrudisha na kubadilishiwa.
Form kwa walimu na waajiri zinapatikn oficin kwetu mwembechai plaza floor ya kwanza magomeni Dar.
Au
piga simu namba
0753-810857.
Zenith education is weapon.
 
Waalimu wa staili na sampuli hii kweli? Hata useme uli-post kwa kutumia simu ya kiganja au ulikuwa kwenye mkahawa wa intaneti na muda ulikutupa mkono -- hapana! Hii haioneshi 'ubora' unaouzungumzia.
 
Mkuu imma.one naona ideas zako zimeanza kufanyiwa kazi. Hongera sana kwa kuanzisha kituo cha kuwatafutia ajira waalimu wa shule za awali.
 
Zenith education is a weapon of self destruct...

hahahahhaha, kwa huo uandishi nakubaliana na wewe, inaonyesha lack of umakini, halafu mwisho anasema "ukimshindwa utabadilishiwa" kama wanatoa walimu bora kwa nini akashindikane?
 
Kwa mfumo huu elimu yetu itazidi didimia kila siku.
OTIS.
 
'Ukimshindwa utabadilishiwa' mpaka anashindikana abadilishwe atakuwa ameharibu watoto wetu kwa kiwango gani?elimu sio kitu cha kujaribisha.'it's not a trial and error exercise'
 
Inabidi watu wajifunze jinsi ya kutoa matangazo madogo kama haya,du inatia aibu
 
hahahahhaha, kwa huo uandishi nakubaliana na wewe, inaonyesha lack of umakini, halafu mwisho anasema "ukimshindwa utabadilishiwa" kama wanatoa walimu bora kwa nini akashindikane?

Acha tu wangu...ina maana hapo wanakusanya walimu waliokusanyika.
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom