Temebelea blog hii

Felixonfellix

Felixonfellix

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Messages
1,670
Likes
0
Points
135
Felixonfellix

Felixonfellix

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2010
1,670 0 135
JF
Tafadhali naomba tuangalie www.felixonfellix.blogspot.com
Hapa utapata habari, mambo yahusuyo imani za watu, mishezo n.k
Kisha tutoe maoni yetu ili kuboresha
 
Mzee wa Rula

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2010
Messages
8,181
Likes
113
Points
160
Mzee wa Rula

Mzee wa Rula

JF-Expert Member
Joined Oct 6, 2010
8,181 113 160
Kuanzisha blog siyo, kazi ni kuifanya iwe current. Kama umefanya uchunguzi blog nyingi hazipo current, hii ni kutokana na hao mabloger kutokuwa na muda au wasaidizi. Ushauri wangu ni kuwa creative acha mambo ya kucopy na kupaste toka mitandao ya magazeti kama mwananchi n.k Kwa kuanzia siyo mbaya rekebisha makosa ya mabloger wengine utatoka na blog yako itakuwa na wapenzi wengi
 
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined
Nov 25, 2010
Messages
36,683
Likes
47,364
Points
280
Daudi Mchambuzi

Daudi Mchambuzi

JF-Expert Member
Joined Nov 25, 2010
36,683 47,364 280
mikatabafeki

mikatabafeki

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2010
Messages
12,827
Likes
2,112
Points
280
mikatabafeki

mikatabafeki

JF-Expert Member
Joined Dec 29, 2010
12,827 2,112 280
Muulize MS blog yake iliishia wapi kama sii kuanzisha mada na kujijibu mwenyewe kwa ID nyingine.
aha haaaa haaaa.............duuuh MS kweli ana matatizo yule jamaa
 
Felixonfellix

Felixonfellix

JF-Expert Member
Joined
Feb 16, 2010
Messages
1,670
Likes
0
Points
135
Felixonfellix

Felixonfellix

JF-Expert Member
Joined Feb 16, 2010
1,670 0 135
Asante sana kwa ushauri mzuri

Kuanzisha blog siyo, kazi ni kuifanya iwe current. Kama umefanya uchunguzi blog nyingi hazipo current, hii ni kutokana na hao mabloger kutokuwa na muda au wasaidizi. Ushauri wangu ni kuwa creative acha mambo ya kucopy na kupaste toka mitandao ya magazeti kama mwananchi n.k Kwa kuanzia siyo mbaya rekebisha makosa ya mabloger wengine utatoka na blog yako itakuwa na wapenzi wengi
 
Forum statistics

Threads 1,236,938
Members 475,327
Posts 29,273,791