Naomba waTanzania wenzangu mnieleweshe.

Naomba waTanzania wenzangu mnieleweshe.

Hizo ndy mbinu zenu za matangazo? hahahaa
 
Itatusaidia tu coz kwanza rahisi kutumia, cost effectively kulinganisha na na njia nyingine zinazotumika hi haina routing ni office kwa office with your computer + internet basi utakuwa umemaliza zoezi.

Ningekuwa Moderator ningefungia usernames kama hizi

Bilali fulu
 
Back
Top Bottom