Msaada

Emeka Onono

Senior Member
Jul 3, 2011
114
15
Kwa wale waishio moshi,au yeyote anaejua hili,bei ya pikipiki (bodaboda) mpya mjin moshi pamoja na gharama zingne zote kama tra etc inagharimu kias gan? Na je kipande kwa boss ni kias gan? Naomba mnijuze jaman,
 
0 Reactions
Reply
Top Bottom