Kiwanja kinauzwa/30mx35m/

kipakaMwitu

Senior Member
Feb 19, 2009
158
20
kiwanja kipo eneo zuri mtaa wa matosa. Mbez mwisho dsm, mita chache kutoka shule ya msing Goba. Bei ni 10mil, kama uko serious PM me.
 
Ingetosha kusema kipo Goba na sio kuzunguuka mara mbezi mwisho mara matosa mara karibu na shule.kwanza kuna umeme?maji? kiwanja kimepimwa?gari inafika site?hizo ni features nazoona zinatakiwa uelezee
 
oi ! Hivi Goba ni Kubaya? Maanake nakumbuka miaka fulani nilipokuwa mtumiaji wa Mabasi nikienda Tegeta au Mbezi Makondakta wakisema Njia panda ya Goba abiria Kimya... Akisema Tangi Bovu Utasikia wanaibuka wengi Shusha.... oi

Bado hakuna maendeleo hadi ukitaka kuuza kiwanja lazima upaite Mbezi Mwisho enh!
 
nimeshapata mnunuz, kama unafikiri mbez Goba bado maendeleo kawauliza makatibu wako wa wizara mbali2
 
oi ! Hivi Goba ni Kubaya? Maanake nakumbuka miaka fulani nilipokuwa mtumiaji wa Mabasi nikienda Tegeta au Mbezi Makondakta wakisema Njia panda ya Goba abiria Kimya... Akisema Tangi Bovu Utasikia wanaibuka wengi Shusha.... oi

Bado hakuna maendeleo hadi ukitaka kuuza kiwanja lazima upaite Mbezi Mwisho enh!

duu hii kali kweli
 
kiwanja kipo eneo zuri mtaa wa matosa. Mbez mwisho dsm, mita chache kutoka shule ya msing Goba. Bei ni 10mil, kama uko serious PM me.

Daah
Kumbe ushauza tayari
Basi tena, ngoja nichek kwingine
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom