Wandugu najua humu hakuna lisilo tatuliwa angalau kwa mawazo!! Hivi machine za kufyatulia matofali nitazipata kwa kiasi gani na wapi? natanguliza shukrani za dhati!!
Kiwanja kinauzwa kipo mita 800 kutoka NJIA PANDA(HIMO) kama unaelekea Dar-es Salaam ukitokea Arusha,ukubwa wake ni heka moja kimepimwa kama eneo la mji kwa ajili ya maandalizi ya jiji la...
Habari wakuu.
Gari mbili zinauzwa tanga.
Toyota IST. year 2002. 90,000 km. in good condition.
bei. 13 mil.
Toyota Caldina. year 1996. 4.5 mil. In good condition.
price negotiable for...
wakuu wangu, naomba msaada wa kupata kiwanja cha kuishi. sehemu yenyewe iwe na sifa zifuatazo
1. iwe sehemu yenye climate nzuri ( mvua hazikosekani)
2. udongo wenye rotuba ( natazamia kufanya...
Wapendwa,
Tunapenda kuwakaribisheni wote kuwa kwa yeyote mwenye kuhitaji simu original na zenye waranty ya mwaka mzima (nokia, samsung, LG, Blackberry all models, Sonny Erricsson)...chonde atuone...
Wadau, kuna vyumba kwa ajili ya Wanafunzi wa Tumaini University, Iringa. Ni umbali wa mita 200 tu kutoka chuoni, kila chumba ni self contained, kina maji na umeme. Kila chumba kina kitanda...
Shamba lenye ukubwa wa ekari mbili linauzwa. Shamba hilo lipo katika kijiji cha Kerege Matumbi, kuelekea njia iendayo katika kijiji cha kilemela. Ni kilomita moja toka katika barabara ya lami...
Kama unahitaji muziki kwa shughuli ya aina yeyote ile,iwe ubarikio,ubatizo,komunio,Kipaimara,Ndoa,Harusi,Send Off,Beg Party,Kitchen Party,Graduation,Mkutano,Misiba,Mhadhara au aina ya Sherehe...
hii ni kampuni inayoshughulika na maswala ya solar and electrical installation
Sehemu tulizo bobea kwa ujumla:
General domestic and industrial electrical installation.
Electrical machines and...
Wadau,
Sisi tunajishughulisha na uuzaji wa simu rejareja na jumla, simu zetu zote zina warranty ya miezi 12.
Sisi ni Nokia- SUPER DEALER
Sisi ni Motorola- AUTHORISED DISTRIBUTOR
Sisi ni...
Kwani kuna umuhimu wa kutangaza biashara yako kwenye mitandao?
kwakunisaidia zaidi ili nipate success kwenye biashara yangu nitajie sehemu ninazoweza kutangaza au ninaweza kupata system ya...
Wanajamvi,
Iko sokoni - Toyota Nadia iko katika hali nzuri kabisa.
Registered,full duty paid, 90,000 kms, automatic transmission, sports rims.
Other options: AM/FM Tuner, CD/DVD/TV, Dual...
Watanzania wenzangu, inasikitisha sana mtu kuona au kuokota kitu cha mwenzako lakini unashindwa kukithamini au kukipeleka kwenye chombo cha usalama. Angalia tofauti;
1. Kizazi cha zamani (Babu na...
A Beach plot measuring 22123Sqm/ 6Acres,located at bagamoyo tourist destination about 45kms from Dar es salaam city centre.
Price:Negotiable
Contact:+255 717 740 341
HOTEL / GUEST HOUSE ( UNFINISHED- IKO LEVEL YA LENTA ) INAUZWA , INA VYUMBA 40 VYOTE SELF CONTAINER, MAJENGO MAWILI, IPO MOROGORO ENEO KUBWA NA ZURI SANA (nyuma ya stand ya mabus msamvu , Opposite...
Waheshimiwa wanajamvi
Babu yenu hapa nina kapick kangu kalipata ajali hivi majuzi na hivi sasa tunavyoongea tumegundua kuwa chassis imepinda kidogo kwa mbele. Hali hii imepoteza mawasiliano...
BIZ Knowledge bure:
Kunawatu watu wanajiita wajasiriamali lakini wako nyuma kwenye kujitangaza au ndo hawafahamu coz zipo
forum,blog na baadhi ambazo ni free of expressions kusema chochote...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.