Matangazo madogo

ONYO: Usiweke links za aina yoyote! Uongozi wa JF hautahusika kwa namna yoyote kwa mawasiliano ya mauzo yaliyowekwa na wanachama bila kutushirikisha.

On JF:

Salaam wandugu.Mwenye modem iliyochakachuliwa nahitaji kwa ajili ya kununua.MWENYE NAYO ANI-pm
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wadau habari za jioni..naomba msaada kwa anayejua bei ya Sam sung Galaxy Tab kwa Dar na ni duka gani naweza kuipata bila kuwa imechakachuliwa. asanteni sana.
0 Reactions
2 Replies
2K Views
nokia n8 used kwa miezi 6 inauzwa kwa 450,000 shs ipo kwenye good condition haina matatizo yoyote.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Natafuta gari suzuki old model hardboard yenye hali nzuri iwe van milango miwili hata pickup yake
0 Reactions
5 Replies
2K Views
nahtaj sch.kwa ajili ya wanangu sifa maadili elm bora na iwe mby au iringa.o-level
0 Reactions
0 Replies
883 Views
nahtaj sch.kwa ajili ya wanangu sifa maadili elm bora na iwe mby au iringa
0 Reactions
0 Replies
884 Views
HELLOO JF!!!! I hope mko powah membersss Am sellling my blackberry 8310 only for 200,000 i have just used only for one month!!!! its in very good condition HERE ARE ITS PHOTOS...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Nauza blackberry curve toka uk, ipo poa sana imetumika kama mwezi mmoja ivi, kama upo intrested ni PM
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Natumaini nimeweza ku-attach tangazo langu. Ni kitabu kizuri chenye kuelimisha pia juu ya athari za dawa za kulevya kwa namna ya hadithi. Karibuni mniunge mkono.
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Wadau Kiwanja kinauzwa kina ukubwa wa mita 20 kwa 30. Kiko maeneo ya Moshi bar kwa mkolemba jirani na Kanyigo bar. Umeme na maji yanapatikana hapo hapo. Bei 9m. Real buyers mni PM.
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Latest Mac Book Pro 13" with Mac OS X operating system for sale with the following specs: Version 10.6.7 Processor 2.3 Ghz Intel Core i5 Memory 4Gb 1333 MHz DDR 3 Graphic software includes: Adobe...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Hello GF members,natafuta mtanzania anayeishi Cyprus.kwa yeyote anayeishji huko au ana ndugu anaishi huko naomba tuwasiliane
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Viwanja vyenye sura ya mashamba vinauzwa, vipo katika kijiji che Kerege, kijiji cha pili toka Bunju katika barabara iendayo Bagamoyo. Viwanja hivyo vipo umbali wa kilimomita 1 kutoka Bagamoyo...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Tunauza Technic MK2 Turntables na Dj Mixer ziko katika hali nzuri very good condition kwa bei poa kabisa. kama unahitaji unaweza kuwasiliana katika email hii absdolo@gmail.com
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hivi majuzi nikiwa Wa kushuhudia uchaguzi nilipata kuwasiliana na jamaa mmoja muhimu sana na tulipotezana ghafla baada ya yeye kuwa akielekea nyumbani. Kwa mwana JF anayefahamu contact details za...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
....................................
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Tunatoa huduma ya Survey ya plots, kuangalia kama plots zipo mahali salama katika ramani ya mipangomiji na kushughulikia upatikanaji wa hati ya umiliki wa kiwanja. Also tunafanya topographical and...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Playstation 2 mpya, haijawahi kutumika, ina controler moja.Bei yake ni 200,000 Tshs. 0656 247324
0 Reactions
3 Replies
2K Views
kiwanja kipo eneo zuri mtaa wa matosa. Mbez mwisho dsm, mita chache kutoka shule ya msing Goba. Bei ni 10mil, kama uko serious PM me.
0 Reactions
5 Replies
1K Views
acer yangu ilipiga shoti ikaua motherboard nimeamua kuichinja kama kunaunachohitaji piga 0655945598
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Back
Top Bottom