Kujitangaza ni SEHEMU YA UJASIRIAMALI....lakini kweli!

agala

Member
Sep 13, 2011
57
12
BIZ Knowledge bure:

Kunawatu watu wanajiita wajasiriamali lakini wako nyuma kwenye kujitangaza au ndo hawafahamu coz zipo
forum,blog na baadhi ambazo ni free of expressions kusema chochote unachowaza au ulichonacho either bidhaa au biashara yako
kama jamii forum, jigambeblogs ,jigambeads ,tanzaniakwetu na wengine wengi wanaruhusu kutangaza, wajasiriamali bongo tutumie hizo fursa na tubadilike.
 
Back
Top Bottom